Ni kweli kabisa, mum hawakujiunga tcu na wanascreen wanafunzi kwa kupitia viongozi wa dini lengwa.Mkuu secrete sina uhakika sana mara ya mwisho nilisikia MUM hawako TCU.Kwa maneno rahisi ikiwa hawako huko maana yake wanachukua wanafunzi ambao hawajakidhi sifa za kujiunga University.
Niko tayari kusahihishwa.
wenye figisu saint bnaaMUM mkijipanga mtazoa wanafunzi mpaka muwakatae ila mkidhani mnaeneza dini badala ya elimu MTAKWAMA na hv yule mliemkimbia NEKTA kaibukia kwa mbele /kawalia denge. Hatakagi figisu figisu zenu
Doh....shenz hao Yan watu tukeshe tupate 1 wao na mi4 yao wapate udaktar kirahc....tumbua tyuSt.Joseph ndio wanapelekewa wenye four 32 alaf wanachukua degree ya udaktar na engineering
MUM wapo TCU mkuu pitia kitabu cha TCU 2015/2016 mum kipoMkuu secrete sina uhakika sana mara ya mwisho nilisikia MUM hawako TCU.Kwa maneno rahisi ikiwa hawako huko maana yake wanachukua wanafunzi ambao hawajakidhi sifa za kujiunga University.
Niko tayari kusahihishwa.
This ranking is fakeTop Universities in Tanzania | 2016 Reviews & Rankings MUMU ni cha 17 na St Joseph cha 22
1 University of Dar es Salaam
Dar es Salaam ...
2 St. Augustine University of Tanzania
Mwanza ...
3 Sokoine University of Agriculture
Morogoro ...
4 Mzumbe University
Morogoro
5 Ardhi University
Dar es Salaam
6 Tumaini University Makumira
Arusha
7 The Hubert Kairuki Memorial University
Dar es Salaam
8 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
Dar es salaam
9 The University of Dodoma
Dodoma
10 Catholic University of Health and Allied Sciences
Bugando
11 Mount Meru University
Arusha
12 St. John's University of Tanzania
Dodoma
13 Nelson Mandela African Institution of Science and Technology
Arusha
14 The State University of Zanzibar
Zanzibar City ...
15 International Medical and Technological University
Dar es Salaam
16 Sebastian Kolowa Memorial University
Lushoto
17 Muslim University of Morogoro
Morogoro
18 The University of Arusha
Arusha
19 Teofilo Kisanji University
Mbeya
20 Zanzibar University
Zanzibar City
21 Mbeya University of Science and Technology
Mbeya
22 St. Joseph University in Tanzania
Mbezi Luguruni
23 University of Bagamoyo
Dar es Salaam
24 United African University of Tanzania
Dar-es-Salaam
Hahahaha Hahahahahaha mkuu unajua hii topic ni very serious usinichekeshe mpaka nashindwa kuchangia,Vyuo vikuu hivi vinavyomilikiwa na taasisi za dini ni kazi sana asee unakuta sijui shehe/ulamaa sijui padiri elimu yenyewe ya kuunga unga nae ana cheo huko chuoni sijui Faculty Dean, sijui Deputy Vice Chancellor yaani ukimcheki tu kwa jicho la haraka haraka bora mbunge wetu wa pale stendi ya kwenda nje ya dar.
GPA ya 3.8 Kutoka Chuo gani??Mum ni miongoni mwa vyuo best Tanzania, hufundishi pale kama huna GPA ya atleast 3.8 undergraduate na 4.0 masters, tofauti na st John au Tumaini! Thus y mwalim akikosekana watachukua mwl kutoka udsm au SUA
Mkuu wa UDSM ni nani???????????Tuseme padiri ama ulamaa ndo TCU zao?
Yafuatayo ni makosa aliyo ainisha Prof Ndalichako:MUM mkijipanga mtazoa wanafunzi mpaka muwakatae ila mkidhani mnaeneza dini badala ya elimu MTAKWAMA na hv yule mliemkimbia NEKTA kaibukia kwa mbele /kawalia denge. Hatakagi figisu figisu zenu
Mkuu hata vya umma for the last 7yrs vyuo vikuu nchini vyote kwa ujumla vimekua vikifanya admission ya wanafunzi failure . Lakini pia serikali ndiyo ya kulaumu kwa kufanya mabadiliko ya taratibu za admission na hivyo kuruhusu failures kujiunga. Ungesikilia bunge leo ungeelewa na prof. Kitila mkumbo alipokua anaongea kupitia jahazi ya clouds in response to ndalichako kuwatumbua TCU.Vyuo vikuu Binafsi viwekwe chini ya UANGALIZI wa vyuo vikuu vya umma kwa miaka 10 kabla ya kupewa MAMLAKA KAMILI. Maana wengi wao ni wababaishaji
Ukienda Kenya mtafute Mwanafunzi ambaye anaweza kujiunga na Course ya Engineering UDSMMkimaliza mabishano yenu ktk wigo wa kidini, mrudi tu katika hoja kuu kuwa Elimu ya Tanzania ktk level zote, kwa sekta binafsi na serikali ni magumashi. Hamna kitu na ndio maana watanzania ni miongoni mwa Raia duniani walio na uelewa mdogo na ufahamu mdogo kuliko. Sasa nyie endeleeni na huo ubaguzi wa kujiona walio sehemu fulani kupitia denomination fulani wapo juu ili hali hata hapo Kenya hamuwezi kuajiriwa.
**By the way hivi Udini humu JF ni namna fulani ya watu kuondoa stress zao za ugumu wa maisha au ?????