crabat
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 4,323
- 2,210
Kusoma ulaya sio hoja. Kama wamesoma vyuo kama st. Joseph wapewe kazi tu!!!![emoji35] ili wakaharibu kazi ya nani hivi. Yaani huko kazini wanaangalia uwezo zaidi. Kwanza swala la kazi waislam ndo wabaguzi. Nakumbuka swaiba angu alipata kazi ofisi fulani inamilikiwa mwislam yaani kuanzi kwenye salary jamaa alikuwa anatengwa na alikuwa ata akienda kudai haki yake hasikilizwi tofauti na wenzake mpaka akaamua kuacha kazi. Akati wa mfungo sasa yaaani mpaka alikuwa anajuta. Yaani mtu anaulizwa mbona hafungi kwan lazima????? Ujumbe wameupata lakini
Wewe unataja ofisi ya muislam huyo ana hiari...ofidi za umma mnachesa nazo