Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Muslim University of Moro Graduates huishia wapi?

Kuna mengi hufahamu mkuu; Wikipedia isi kuhade ,natamani ningekuambia chimbuko la St Joseph tokea 2006.
Kilipoanzishw kwa mara ya kwanza mkoani Ruvuma na baadaye ndo wakaenda buguruni.
Ila kiufupi kanisani katoliki halina ubia wowote na hicho chuo kabisa...
Ingawa Askofu mbena alihusishwa na hicho chuo Ila kanisani halina mkono kabisa hapo
 
Kwani mkuu mtu akiwa sister mahali ndo hiyo taasisi ni ya kanisa katoliki?
Nasikitika sana kuona unaupeo mdogo wa u juzi wa haya mambo na pia hutaki kutafuta na kujua u kweli uliofichika hapo ndani yake..Kiufupi libahatika kufanya kazi na biashara na hii taasisi kwa miaka mitano tokea kuanzishwa kwake, ndomana nashangaa sana unapotoka povu na kitu usichokifahamu
 
tumejipanga tunataka tupate ISO 9001 Certification. Mtaisoma namba na division 4 pweinti 34 kusoma digrii ya uhandisi na wengine Medicine. Pathetic!
 
Kwani mkuu mtu akiwa sister mahali ndo hiyo taasisi ni ya kanisa katoliki?
Nasikitika sana kuona unaupeo mdogo wa u juzi wa haya mambo na pia hutaki kutafuta na kujua u kweli uliofichika hapo ndani yake..Kiufupi libahatika kufanya kazi na biashara na hii taasisi kwa miaka mitano tokea kuanzishwa kwake, ndomana nashangaa sana unapotoka povu na kitu usichokifahamu
Mkuuu wao kwenye website yao wameweka owner ni katoliki hapo uchunguz gani unahitajika
 
Mkuu secrete sina uhakika sana mara ya mwisho nilisikia MUM hawako TCU.Kwa maneno rahisi ikiwa hawako huko maana yake wanachukua wanafunzi ambao hawajakidhi sifa za kujiunga University.

Niko tayari kusahihishwa.
Shocking. Sasa kama ni kweli inakuwaje? Wao hawana mikopo na mambo mengine yanayoambatanana na vyuo vikuu?
 
Kuna mambo ambayo common people mnawekewa muyajue tu ilikukamilisha utaratibu.
Na sio kila jambo mnatakiwa mfahamu.
 
MUM - World-class university hata lecturers wengi wa UDSM wanatambua hilo ndo maana kutwa kuchwa wanalilia kufanya kazi hapa MUM (Ili unukie Waridi lazima ukae karibu na Waridi).
** Soon tunaanza kutoa PhDs za kutosha.
 
Watu wameshiba ugali ndi ndi wameanza kubishana
 
vyuo vikuu vya binafsi vingi ni kama shule za sekondari tu maana ajira nyingi hutolewa kiupendeleo (Kidini), promotion criteria nazo ni majanga. Yaani ni ovyo ovyo tu.
 
Kwani mkuu mtu akiwa sister mahali ndo hiyo taasisi ni ya kanisa katoliki?
Nasikitika sana kuona unaupeo mdogo wa u juzi wa haya mambo na pia hutaki kutafuta na kujua u kweli uliofichika hapo ndani yake..Kiufupi libahatika kufanya kazi na biashara na hii taasisi kwa miaka mitano tokea kuanzishwa kwake, ndomana nashangaa sana unapotoka povu na kitu usichokifahamu
 
Mkuu umepitia ile BENKI YAO kucheki, make mule hadi uwe mzee wa swala 5!!

Lasivyo issue ya usawa ktk taasisi endelea tu kuusikilizia tu ktk Redio.
 
893f516f5cd34cea1cd122680f0ed907.jpg
Ila mkuu hiki chuo ni cha Wahindi. Na hakimilikiwi na Taasisi yoyote ya Kikatholic hapa Tanzania. Na hakipo chini ya Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC). Hivyo ni wafanyabiashara tu wa Kawaida kama Coca Cola Tanzania, wakati siyo owners wa Coka.
 
Back
Top Bottom