Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Mkuu sana yakubu, nenda English kozi ujue matumuzi ya is na aretcu are responsible
Mkuu sana yakubu, nenda English kozi ujue matumuzi ya is na aretcu are responsible
Vyuo vikuu hivi vinavyomilikiwa na taasisi za dini ni kazi sana asee unakuta sijui shehe/ulamaa sijui padiri elimu yenyewe ya kuunga unga nae ana cheo huko chuoni sijui Faculty Dean, sijui Deputy Vice Chancellor yaani ukimcheki tu kwa jicho la haraka haraka bora mbunge wetu wa pale stendi ya kwenda nje ya dar.
Kwa vigezo vya nani?Acheni wivu Muslim University moja ya vyuo bora Afrika na Mashariki ya kati
Sasa div four ya 34 ni zero maana hupewi cheti, sasa huko wanadailiwa vipi?tumejipanga tunataka tupate ISO 9001 Certification. Mtaisoma namba na division 4 pweinti 34 kusoma digrii ya uhandisi na wengine Medicine. Pathetic!
Mapadre wana elimu ya kutosha wala hawabahatishi ndio maana Maaskofu wakisema jambo serikali huwasikiliza zaidi maana wanaeleza kisomiVyuo vikuu hivi vinavyomilikiwa na taasisi za dini ni kazi sana asee unakuta sijui shehe/ulamaa sijui padiri elimu yenyewe ya kuunga unga nae ana cheo huko chuoni sijui Faculty Dean, sijui Deputy Vice Chancellor yaani ukimcheki tu kwa jicho la haraka haraka bora mbunge wetu wa pale stendi ya kwenda nje ya dar.
Hicho chuo namba 24 kipo dar sehemu gani na kinatoa kozi zipi? Nani mmiliki wa chuo hicho?Top Universities in Tanzania | 2016 Reviews & Rankings MUMU ni cha 17 na St Joseph cha 22
1 University of Dar es Salaam
Dar es Salaam ...
2 St. Augustine University of Tanzania
Mwanza ...
3 Sokoine University of Agriculture
Morogoro ...
4 Mzumbe University
Morogoro
5 Ardhi University
Dar es Salaam
6 Tumaini University Makumira
Arusha
7 The Hubert Kairuki Memorial University
Dar es Salaam
8 Muhimbili University of Health and Allied Sciences
Dar es salaam
9 The University of Dodoma
Dodoma
10 Catholic University of Health and Allied Sciences
Bugando
11 Mount Meru University
Arusha
12 St. John's University of Tanzania
Dodoma
13 Nelson Mandela African Institution of Science and Technology
Arusha
14 The State University of Zanzibar
Zanzibar City ...
15 International Medical and Technological University
Dar es Salaam
16 Sebastian Kolowa Memorial University
Lushoto
17 Muslim University of Morogoro
Morogoro
18 The University of Arusha
Arusha
19 Teofilo Kisanji University
Mbeya
20 Zanzibar University
Zanzibar City
21 Mbeya University of Science and Technology
Mbeya
22 St. Joseph University in Tanzania
Mbezi Luguruni
23 University of Bagamoyo
Dar es Salaam
24 United African University of Tanzania
Dar-es-Salaam
kwa hiyo unaposikia sheikh kwa mawazo yako unafikiri ni kanzu........? muweke sheikh hapo na padri hapo, kisha wapokonye kitabu cha dini husika , waambie watiririke kupitia kichwa uone ni nani aliyesoma akaelewa na nani aliyekariri. ACHA DHARAU.Hivi kweli unafananisha Elimu ya Padri na Elimu ya Sheikh? Uko serious kweli?
Unavijua vigezo mpaka mtu anafika hatua ya kuwa Padri?
Unapoona mtu anaitwa Padri jua kabisa Elimu yake Imeshiba.