Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,304
- 5,655
- Thread starter
- #101
Always readyUko tayari ??
Always readyUko tayari ??
Swadaktaa kabisaa,Huo mpira unqvyodunda kama kitenesi
Ukiwa control zero unakutia aibu
Sasa ana miaka 22 na hana idea ya ⚽ ila wao ndo wanataka huyo binti asakate kandanda, mbna ni mtihani huu.Kuanzia Leo aanze kufanya mazoezi ya kucheza cheza kidogo kidogo apunguze uzembe, football isn't that easy it needs sacrifice sometimes.
Zaidi ya yote awe tayari kuwa mchezaji wa kabumbu.
Jumatano najua tutapata nafasi za kufunga zaidi ya tatu lakini shida ni je tunaweza kutumia zote?Kumbe wee ni mwakarobo family 🤣🤣🤣🤣
Haya jtano tu aingia na tactics gani mwanawane
Mkubwa kbs yaan mpaka failure unaionaSasa ana miaka 22 na hana idea ya ⚽ ila wao ndo wanataka huyo binti asakate kandanda, mbna ni mtihani huu.
Unajua km kusakata kabumbu ni kipawa? Km sivyo bas muhusika atokee kupenda, then ndo apewe trainings, if hayuko interested, ila nyie ndo mnafosi, bas shida ipo hapo.Mkubwa kbs yaan mpaka failure unaiona
Ila kama yeye anapenda kucheza kwa kiasi Fulani inawezekana lakini kama wanamlazimisha basi hawana tofauti na mtu anayechota maji ya matumizi ya nyumbani kwa kutumia kondom.Sasa ana miaka 22 na hana idea ya ⚽ ila wao ndo wanataka huyo binti asakate kandanda, mbna ni mtihani huu.
Halafu Mimi siamini katika kipaji.Unajua km kusakata kabumbu ni kipawa? Km sivyo bas muhusika atokee kupenda, then ndo apewe trainings, if hayuko interested, ila nyie ndo mnafosi, bas shida ipo hapo.
Ndo hapo sasa.Ila kama yeye anapenda kucheza kwa kiasi Fulani inawezekana lakini kama wanamlazimisha basi hawana tofauti na mtu anayechota maji ya matumizi ya nyumbani kwa kutumia kondom.
Ni sawa, ila muhusika aupende huo mchezo wenyewe.Halafu Mimi siamini katika kipaji.
Kama ana kipaji tupatie atusaidie Msimbazi..Ndugu yangu wa kike
Na uzuri umri sio kesi..Akitoboa anachukua umri wake anatoa miaka mitano anajihesabu ana miaka 17.Kama umbo la kimichezo lipo, ni swala la training session ya mwaka ya maana, kikubwa awe na idea ya soccer.
Yeah, mtu anafanya vizuri zaidi katika kitu anachokipenda kwa sababu anakifikiria Kila muda na kutafuta alternatives za Ku Excel kwenye hicho kitu.Ni sawa, ila muhusika aupende huo mchezo wenyewe.
Lala uote ndoto nyevu mkuu maana hicho ndicho kitu pekee ukiwezacho.NAONA MNAKURUPUKA..
Kwanza mpira upi? TUANZIE HAPO
Mmmh kipaji kipo bhana.Yeah, mtu anafanya vizuri zaidi katika kitu anachokipenda kwa sababu anakifikiria Kila muda na kutafuta alternatives za Ku Excel kwenye hicho kitu.
Huwa nawashangaa watu wanaosema mtu Fulani ana kipaji cha kitu fulani. Hakuna kitu kinachoitwa kipaji hapa duniani.
Hakuna kipaji bibie. Kila siku tunadanganywa na wazungu.Mmmh kipaji kipo bhana.
SAWA MKUU WACHA NILALE..Lala uote ndoto nyevu mkuu maana hicho ndicho kitu pekee ukiwezacho.
Hahahaha 🤣 Acha uwongo.SAWA MKUU WACHA NILALE..
UKIWA UNALALA BILA KUOTA JITAFAKARI SANA INAWEZEKANA UNA COLD MADNESS
Ataki kufokewaHahahaha 🤣 Acha uwongo.