Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

Nimekumbuka mbali, nilikua na kipawa cha kucheza mpira wa miguu, nimecheza sana chandimu, piga dana dana kwa uzuri, nilipofika std 6, Mama akanikalisha chini, akanipa semina juu ya maisha hasa kwa upande wangu.
Niliamua ni focus na mambo mengine, kwa kweli namshukuru mno, sahivi naona nisingefika popote kupitia kipaji hiki,

Nimebaki na memories za piga chenga, kata funua, piga mduki, aiiih. Wakati ni ukuta.

Kila kheri kwako, ufanikiwe ktk hilo.
 
Tatizo uliwekeza kwenye chandimu.... ungefanikiwa sana ungekuwa na mpira wako tu wa makaratasi
 
Kwa nini uliacha aise!
 
Tatizo uliwekeza kwenye chandimu.... ungefanikiwa sana ungekuwa na mpira wako tu wa makaratasi
Huo wa makaratasi mie ndo mfumaji, naweka condom niliyo puliza, naviriga na vitambaa, nje naviriga nailoni, naanza kufuma, unatokea mpira unadunda haswaa.

😂😂😂😂 mnanikumbusha mbali hatarii.
 
Back
Top Bottom