Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

Yeah, mchezaji wa kike anatakiwa awe na vitu vifuatavyo.

1. Awe na agility (Kasi)yaani awe mwepesi ili aweze kuendana na Kasi ya mchezo. ahimili miliki miliki kwa sababu Mpira wa miguu na kiteni na kindava haihitaji mtu lelemama

2. Awe na composure (utulivu). Utulivu WA mwili na akili ni wa muhimu Sana katika soka.

3. Endurance yaani kuwa fiti kimwili siyo upepo mkali ukipita unakuangusha. Mpira wa miguu na kitemi na kindava hauhitaji mtu lelemama.

4 Nidhamu, nidhamu, nidhamu.
Na awe below 18
 
Jumatano najua tutapata nafasi za kufunga zaidi ya tatu lakini shida ni je tunaweza kutumia zote?
Kuhusu tactics mwalimu ndiye mwenye timu na ndiye anayejua la kufanya ndiyo maana tumemwachia timu.

Tukitumia nafasi zetu vizuri tutafuzu, mungu ibariki Simba.
Nyie hapo hamna ujanja yaani refa mtieni mil 50 kwanza mumwambie afe kipa afe beki lazima goli la dhuruma liwepo tuu.
 
Jaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
Aweze kupiga danadana 100 kwa ugoko.
Akimaliza happ aweze kutuliza mpira kifua i bila kuumiza matiti yake
And then awe kujua majukumu angalau 3 makuu kwa namba anayocheza.
Asinnywe pombe, asivute sigara, asipende mboooo wa mademu wenzake.
Alale masaa 9 kwa siku.
Kila siku iendayo kwa mungu aweze kuchezea mpira yeye peke sio chin ya masaa 2
 
Hapo kwenye mbooo sidhani kama atakuelewa haraka mkuu.
Mbooo ni mbooo tu.
 
Aweze kupiga danadana 100 kwa ugoko.
Akimaliza happ aweze kutuliza mpira kifua i bila kuumiza matiti yake
And then awe kujua majukumu angalau 3 makuu kwa namba anayocheza.
Asinnywe pombe, asivute sigara, asipende mboooo wa mademu wenzake.
Alale masaa 9 kwa siku.
Kila siku iendayo kwa mungu aweze kuchezea mpira yeye peke sio chin ya masaa 2
Sasa ukute ana manyonyo makubwa kama Isha mashauzi mbona zesheni🥶
 
Kama wao walifunga mabao 2 na Sisi tunaweza kufunga, kinachotajika ni maandalizi mema tu.
Maamdalizi wapi kocha dugi wewe 🤣🤣🤣🤣
Weyw huna quality mzeya mie nawashauri kama wataka cheza nusu fainali basii muangalie wachezaji ambao walishawahi cheza semifinal msajiri msimu ujao. Haya mambo ya kusajiri kwa kuangalia mfuko mtalia nyie. Kama pale kulia kwa kapombe inabidi mshushe mdau wa sundowns
 
Back
Top Bottom