Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

Mbususus mpaka usukume tumbo ndo uione italuwane tamu wewe
Unasukuma tumbo mpaka unahisi njaa bado hujapiga miti, halafu ukipiga goli moja na kuanguka kama bata unaambiwa huna miguvu ya kiume.

Nyambafu Sana.
 
Jaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
Wale mabinti Wanaocheza ligi wengi huwa wapo academy za shule wanazosomea,

Kama bado mwanafunzi Unaweza kutafuta shule zenye academy ujiunge Mfano Alliance kwa Mwanza

Kama sio mwanafunzi na umri wako bado mdogo jitahidi tafuta academy uombe nafas hutokosa nafasi Maana mabinti Wanaocheza mpira Ni wachache kuliko uhitaji.

Kila lakheri
 
Back
Top Bottom