Mkuu mtengeneze mchezaji afikie level za akina Aisha masakaHahaha, mimi mtu akitaka kuifuata pm wala asiniombe ruhusa.
Mkuu mtengeneze mchezaji afikie level za akina Aisha masakaHahaha, mimi mtu akitaka kuifuata pm wala asiniombe ruhusa.
Aaah wapiii.Huwezi jua labda Leo hii ungekuwa unasakata kabumbu barani ulaya.
Wewe ni Mama yake Mzize?Mzize alianza kucheza akiwa na miaka 30 alipofika Yanga tayari alikuwa na miaka 32 hata ngara23 na OKW BOBAN SUNZU wanalijua hilo.
Umri Gani. Tuanzie hapo kwanza.Jaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
That's my intention.Mkuu mtengeneze mchezaji afikie level za akina Aisha masaka
Huo mpira unqvyodunda kama kitenesiHuo wa makaratasi mie ndo mfumaji, naweka condom niliyo puliza, naviriga na vitambaa, nje naviriga nailoni, naanza kufuma, unatokea mpira unadunda haswaa.
😂😂😂😂 mnanikumbusha mbali hatarii.
🤣🤣🤣🤣🤣 Unataka dogo lako lipige faboJaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
Sawa kiongozi mtuletee balon d'or siyo mimba d'orThat's my intention.
I'll do my best
Mzize namjua tangu akiwa barubaru yaani kabla mavuzi hayajamtapakaa kwenye mapaja.Wewe ni Mama yake Mzize?
22Ana umri gani
Balon d'or utakuja bongo kwa mara ya kwanza endapo nikipewa nafasi ya kumcoach bibie.Sawa kiongozi mtuletee balon d'or siyo mimba d'or
Ana idea ya football?
HajuiUnaweza kupiga danadana ngapi
22Umri Gani. Tuanzie hapo kwanza.
Scout wapo hapa hapa .
Aisee kumbe wee ni mzee wa formation strategy tactics 🤣🤣🤣🤣🤣Kwenye ukocha mimi ni balaa tupu.
We Anastasia21 fanya ufanyavyo usimpoteze huyu KochaBalon d'or utakuja bongo kwa mara ya kwanza endapo nikipewa nafasi ya kumcoach bibie.
Ndio Kwa lazima yaan🤣🤣🤣🤣🤣 Unataka dogo lako lipige fabo
Mweee huyo anacheza timu gani?