Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

Muongozo kuijunga team ya mpira hasa mwanamke?

Jaman naweza pata muongozo au mwenye uelewa na team za mipira Kwa mtoto wa kike inatakiwa uwe na kigezo gani? Yaan inshort requirements?
hakuna special issues kwa mwanamke kuhusu mpira wa miguu,anachotakiwa kikujua mwanaume kuhusu mpira ndio hicho hocho anatakiwa kukijua mwaname.muhimu zingatia haya:
1.chagua timu ya kushabikia kwenye ligi ya tanzania,uingereza,spain na italy
2.uwe na kisimbuzi cha azam na ulipe kifurushi cha 35,000
3.kama unajiweza kifedha uwe na kisimbuzi cha dstv na ulipe kifurushi cha 60,000
4.uwe unasikiliza wachambuzi wa michezo kwenye redio mbalimbali ili uujue mpira
5.uwe unaenda uwanjani kuangalia mpira.
ukifanya hayo baada ya miezi 2 tu utaujua mpira
 
Kama una nia pambana sana, Fanya mazoezi, tafuta connection ya kwenda kufanya mazoezi kwenye hizi timu zinazoshiriki ligi kuu au ligi za mikoa, kama una kipaji utatoboa na wanakuchua. Mschana ukiwa na kipaji kupata na nafasi ni rahisi sana kuliko wanaume!!.
Huyo binti unayemuona pale yanga full beki namba 2 somebody "PROTASni" DEMU wa songea alikuwa pale MAPOSENI SEKONDARI, alikuwa anafanya sana mazoezi na binafsi nilimkuta pale nyakati za Umiseta miaka ya 2014-16... Alijutuma sana, lakini saizi yupo yanga anakula maisha.
 
Back
Top Bottom