Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,304
- 5,655
- Thread starter
- #61
NoAna idea ya football?
NoAna idea ya football?
Control zipo kama gaucho au ni control chumba na sebuleee?Ndio Kwa lazima yaan
Mwee huyo kashachelewa kucheza boli
Sawa usijaliWe Anastasia21 fanya ufanyavyo usimpoteze huyu Kocha
Kama umbo la kimichezo lipo, ni swala la training session ya mwaka ya maana, kikubwa awe na idea ya soccer.
Ndo tunataka tumfundisheMweee huyo anacheza timu gani?
Kama gauchoControl zipo kama gaucho au ni control chumba na sebuleee?
Body la soccer lipoKama umbo la kimichezo lipo, ni swala la training session ya mwaka ya maana, kikubwa awe na idea ya soccer.
Nidhamu😀😃Yeah, mchezaji wa kike anatakiwa awe na vitu vifuatavyo.
1. Awe na agility (Kasi)yaani awe mwepesi ili aweze kuendana na Kasi ya mchezo. ahimili miliki miliki kwa sababu Mpira wa miguu na kiteni na kindava haihitaji mtu lelemama
2. Awe na composure (utulivu). Utulivu WA mwili na akili ni wa muhimu Sana katika soka.
3. Endurance yaani kuwa fiti kimwili siyo upepo mkali ukipita unakuangusha. Mpira wa miguu na kitemi na kindava hauhitaji mtu lelemama.
4 Nidhamu, nidhamu, nidhamu.
Kama ilivyo ada.Aisee kumbe wee ni mzee wa formation strategy tactics 🤣🤣🤣🤣🤣
So unataka kumsaidia mrembo ajue kupiga fabo
Shida yake haniamini😂😁We Anastasia21 fanya ufanyavyo usimpoteze huyu Kocha
Au avatar ndiyo inamtisha🤣Shida yake haniamini😂😁
Kiongozi Ata passport haipoNajitolea kukupeleka Italy kwenye academy ya Napoli
Kabisa Ata pm kufika 🙌🏾Shida yake haniamini😂😁
Rango😹😹Au avatar ndiyo inamtisha🤣
Kuanzia Leo aanze kufanya mazoezi ya kucheza cheza kidogo kidogo apunguze uzembe, football isn't that easy it needs sacrifice sometimes.
Nidhamu!!Nidhamu😀😃
Aje pm nimpe connection ya Simba QueensMzize alianza kucheza akiwa na miaka 30 alipofika Yanga tayari alikuwa na miaka 32 hata ngara23 na OKW BOBAN SUNZU wanalijua hilo.