Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Mkuu usibishie vitu usivovijua,, nenda udom college of health ,, iyo designing ya hizo hostel za udsm nd ipo ivo ivo na kule udom weny colej ya Afya,,, ni full usumbufu tuu,, kutunza vifaa ni hovyo, kusoma rum hovyo, inshort huyo designer nae ni hovyo tuu!!!
Kwenu kila kitu ni cha hovyoo nchi hii kasoro vitanda vyenu tu.
 
Nyie wakuja wengi wenu huwa hamjuwi maana ya usafi au kutunza vyoo, hicho ndiyo kiwe cha kwanza, mjifunze kutunza vyoo na wasimamizi wa afya za wanafunzi na wa mazingira ya chuo walisimamie hilo Kama na wao si walewale.

Kuna kijana wetu mmoja alihama bweni la chuo kikuu siku ya pili tu kwa ajili ya vyoo kuwa hovyo kabisa.

Alihayari awe ana shuttle kila siku kutoka Kariakoo na kurudi kuliko adha ya vyoo vichafu.
 
Mkuu usibishie vitu usivovijua,, nenda udom college of health ,, iyo designing ya hizo hostel za udsm nd ipo ivo ivo na kule udom weny colej ya Afya,,, ni full usumbufu tuu,, kutunza vifaa ni hovyo, kusoma rum hovyo, inshort huyo designer nae ni hovyo tuu!!!

= college
= room

Utakuta huyu eti naye ni msomi wa chuo kikuu!

Punguani wahed.
 
= college
= room

Utakuta huyu eti naye ni msomi wa chuo kikuu!

Punguani wahed.
Haaaa,,,mkuu watakushangaa ww coz sisomi language chuon kusema et maneno yote niandike utakavo ww,,, so kikubwa km unaboreka na uandish ni bora ukae kimya kuliko kujifany madam wa kiingereza darasa la tano!!!
 
hivi hostel nayo ni stori ya kuweka fent ford?aende udom aone mabwen hayana kazi watu wanachagua walale wapi
kwahiyo unataka kusema nini ujingamwingine utadhani mnauziwa.
 
I wish ingekuwa hivyo kwa vyuo vyote vya serikali
Kila kitu kina mwanzo. Na mwanzo huwa ni wazo (na hata ndoto) ambalo huboreshwa na kutekelezwa.

Viongozi wetu wakiacha siasa za maneno na mipasho, wakavibadilisha kuwa ndoto na hatimaye kuzitimiza, hakuna sababu yoyote kwa nini tusifikie uchumi wa kati kabla ya 2025, kama dira yetu inavyoelekeza.
 
Kwa hizi akili zetu nyeusi ukirudi baada ya miezi sita hapo utashangaa...!!!!
 
Ach\a misemo ya kipumbavu wewe. Tanzania haitakiwi kuwa na fisadi haijalishi anatoka chama gani ama hana chama. Ccm wanapiaga deki ni mfano wa kipumbavue.

Semehi hao mafisadi mnawafanya nini? Hakuna shria za kuwashitaki ili warudishe mali za umma kwa maendeleo ya taifa? Hamna srikali ya kusimamia haki? Ccm inafanya nini? Pelekeni mahakamani wahukumiwe kwa mujibu wa sheria. Upumbavu wa kutuletea hapa maneno ya kijinga, huko huko twaweza.
Kama nilivyosema awali ccm wabovu kwa kila idara lkn upinzani ni zaidi makapi yote ya ccm mnayakumbatia sasa kutakuwa na tofauti gani? Mamvi ni fisadi aliyeundiwa kamati na akathibitika masha kiongozi mhuni aliyetoa mpk vitasa vya ofisi ya ubunge baada ya kushindwa sumaye waziri mkuu aliyechota m50 ppf kwa jina la kukopa mahanga aliyeshindwa ubunge n.k besides chama chenyewe cha chadema kinaendeshwa kiukoo mwenyekiti na muasisi wake mtei alimuachia uenyekiti shemeji yake bob makani na aliyekuwa mfanyakazi mwenzake Bot baadae uenyekiti ukaenda kwa mkwewe mbowe haijulikani anaandiliwa nani mwenye nasaba na mtei amrithi mbowe. Kwenye upande wa demokrasia ni failures tupu pamoja na mambo mengine lowassa amegombea urais kinyume cha katiba ya chadema kwani inasema mwanachama yeyote kabla hajagombea nafasi kubwa kwenye chama lazima akae chamani angalau miezi sita wote tunajua lowassa hakukaa hata wiki moja akapewa nafasi ya kugombea urais bila mchakato wowote hatua ambayo ilisababisha dr slaa na lipumba kujiengua. Kifupi chama bado kinatakiwa kijijenge zaidi hakiwezi kupata ridhaa ya wananchi hata siku moja hapa nazungumzia chadema na ukawa yote. Ccm itaendelea kupata kura ya zimwi likujualo halikuli likakwisha mpk mtakapokomaa. 2020 kama hatogombea lowassa mtasubiri afukuzwe mwingine ccm aje na mtaji useless opposition.
 
Dah. Kwa Nilivyohangaika Miaka Mi4 Kutafta Chances Za Kukaa Hall 1. ***** Wanafunzi Wa Sikuizi Mna Raha!!
 
hivi hostel nayo ni stori ya kuweka fent ford?aende udom aone mabwen hayana kazi watu wanachagua walale wapi


Mkuu nakuunga mkono. Mfano kule Education a.k.a. Ng'ong'ona chmba cha watu wanne mtu analala peke yake. Yaani UDOM mabweni hayana watu kabisa. Hakuna la ajabu hapa UDSM.
 
I wish ingekuwa hivyo kwa vyuo vyote vya serikali
kuna chuo kimoja kinaitwa sua I used to be there aisee hosteli ni kama vumba vya kufugia kuku room ya mita 4x6 lakini inabeba watu sita alafu bado hawajabebana
one of the government university that has poor facilities
 
Sio hamjui Mzee Warioba tu, MENGI HAYAJUI NDIO MAANA KILA JEMA LINALO FANYWA NA SERIKALI YEYE NA WENZIE WANAKURUPUKA KUKOSOA!
 
KFC wapo kila kona Nchi za watu . Wana toll free number. Ukipiga simu inapokelewa call center yao. Haipokelewi restaurant. Call center wanakuuliza ulipo. Ukishawapa home adress yako wao wanakuombea order yako kwa kfc iliyo karibu na wewe then fasta unaletewa. Tembea uone ndugu yangu sio umekaa zako tandale unabisha kila kitu hata usivyovijua
Unalipia kwanza ndo uletewe ama
 
fb30212e48b4b9906d2d84417229dd4f.jpg


Huyo mzee mwenye mvi mrefu na surubale la kujivu unaweza kukuta ni professor.
Nadhani umevamia siasa za Tanzania?
 
Hayo ma locker yapo juu ya meza za kusomea sasa watatunzaje vitu humo? kwa joto la dar wanaosomea kwenye hizo meza juu wamefunikwa na ma locker itakuwaje hao ma designer veepe?
Ndo maana kuna Feni..tafuta kasoro nyingine..
 
Back
Top Bottom