Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Ila tukiacha unafiki wa kisiasa huyu Jamaa yuko njema, kwa mda mchache tu kashafanya vitu ving na vikubwa japo nayeye anamapungufu yake ya kibinadamu lakn naimani huyu bwana atatufikisha mbali
 
fb30212e48b4b9906d2d84417229dd4f.jpg


Huyo mzee mwenye mvi mrefu na surubale la kujivu unaweza kukuta ni professor.
Hilo shati Mzee analipenda balaa
 
Kilichonifurahisha Mimi ni gharama billion 10 tu,wanasema wangejenga wengine wangetumia billion 100,tehe tehe tehe,serikali ile kweli ilikuwa ya matumizi.
 
Kusema ukwel hapo wameharibu ,coz ni usumbufu mkubwa sana katika kutunza vitu kweny hayo malocker pia meza ya kusomea hawawez kukaa watu wanne hapo wakatosha zaidi ni kusumbuan tu wakat wa kusoma,,, wameharibu sana kiukwel bt nd vitu vya cheap cheap ivo watafanyj sas
Tz kila mtu engineer/interior designer. Wewe unajua urefu wa hio meza ya kusomea mpaka useme watu wanne hawatoshi? Nikiangalia naona chumba kina urefu wa kutosha vitanda viwili vya futi 6 kwa hio urefu at least 12feet, sasa toa futi moja au mbili za locker pembeni. Zinabaki futi kumi. Futi kumi hazikai viti vinne?
 
Mmmh sijawahi ona mahali duniani kfc wana deliver. Na hiyo website [emoji848] wasiwasi mtupu
Napita
Hii ndo ubaya wetu kuishi kwa mazoea .....badilika mkuu ....huduma zinabadilika kutokana na mazingira mkuu .....afu unasema duniani kote mfano Bangalore india wanatoa hyo service
 
Mkuu usibishie vitu usivovijua,, nenda udom college of health ,, iyo designing ya hizo hostel za udsm nd ipo ivo ivo na kule udom weny colej ya Afya,,, ni full usumbufu tuu,, kutunza vifaa ni hovyo, kusoma rum hovyo, inshort huyo designer nae ni hovyo tuu!!!
Kuna mwenzio humu kasema waende Udom wakaone hostel. Watu wengi wanasifia hostel za Udom kumbe ziko hovyo.
 
Hii ndo ubaya wetu kuishi kwa mazoea .....badilika mkuu ....huduma zinabadilika kutokana na mazingira mkuu .....afu unasema duniani kote mfano Bangalore india wanatoa hyo service
Nibadilike kitu gani kwa mfano?
Bangalore ndo ushuzi gani wkt niko Kentucky state yenyewe..
Haya basi nitabadilika labda kweli mnajaribubkwenda sawa na mwendokasi wa dunia..
 
Changamoto itakayojitokeza kwa sasa ni utunzani wa mabweni hasa kwa ndani.

Baada ya changamoto moja kumalizika, kwa sasa changamoto iliyoko mbele ni utunzani.

Penye nia pana njia na kupanga ni kuchagua.

Polepole tutafika tu!

IMGS0315.JPG

IMGS0317.JPG

IMGS0322.JPG

Rais Magufuli na Mama Magufuli wakiangalia samani ndani ya mabweni.

IMGS0326.JPG

IMGS0300.JPG

Jaji Joseph Warioba na Rais Magufuli wakibadilisha mawazo baada ya kukagua mabweni mapya USDM.
IMGS0333.JPG
Pyongyang
 
Huyo Warioba na Mshati wake wa kauka Nikuvae wakati anakula 80% ya Mshahara wa Waziri Mkuu alieko MADARAKANI. Hii Mzee Mibahili sana cheki hata Msuruali aliovaa Kama umeshonwa VETA
Anabana matumizi
 
Nibadilike kitu gani kwa mfano?
Bangalore ndo ushuzi gani wkt niko Kentucky state yenyewe..
Haya basi nitabadilika labda kweli mnajaribubkwenda sawa na mwendokasi wa dunia..
Huku uswahilini tumeamua kfc ije nyumbani huko Kentucky ifuateni tu kwenye vibanda vyao.
 
Back
Top Bottom