Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Ni wajibu wa serikali kufanya hayo yote wala haiitaji pongez
Sawa na kumsifia mzazi kwa kumsomesha mtoto wake hadi chuo
 
Nauliza haya mabweni ya O'level au chuo kikuu? Chuo kikuu double decker? Chumba kimoja vitanda vinne?? Mungu nakushukuru.
 
fb30212e48b4b9906d2d84417229dd4f.jpg


Huyo mzee mwenye mvi mrefu na surubale la kujivu unaweza kukuta ni professor.
Usijifanye kuwa humfahamu
 
Back
Top Bottom