Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Huku uswahilini tumeamua kfc ije nyumbani huko Kentucky ifuateni tu kwenye vibanda vyao.
Kuleta mambo makubwa kuliko uwezo, sasa mie huku kigogo nilikoambiwa naishi mdani ndani wanadelivaje? Hata sielewi kweli niwaachie wa mikocheni na masaki
 
Hapana mkuu , Bali ni ukweli kabisa maana calculation nyingi zilipishana humu utadhani kundi la C4M Ndio ni ma-injinia pekee waliosoma na kufaulu wakati hata DJ faili lake jeupeee halina cheti.
poor TZ JK kajenga hostel zaidi ya 150 udom na bado haikuwa issue leo ni ushujaa kuzindua vi hostel 20 vya kubana
 
hivi hostel nayo ni stori ya kuweka fent ford?aende udom aone mabwen hayana kazi watu wanachagua walale wapi
Kwa hiyo wanaosoma UDSM wawe wanaenda kulala Dodoma? Kama vijana walikuwa wanahangaika mitaani huoni ni jambo jema kwa sasa? Au wewe mgumba huna watoto wanaotegemea kusoma hapo au una watoto vilaza hawatafika chuo kikuuu?
 
Kuna mwenzio humu kasema waende Udom wakaone hostel. Watu wengi wanasifia hostel za Udom kumbe ziko hovyo.
Kwa colej zngin mfano COED,,HUMANITY na INFO ziko vizur sana bt kwa colej ya afya ni utumbo tu alioufanya aliedesign
 
Kuleta mambo makubwa kuliko uwezo, sasa mie huku kigogo nilikoambiwa naishi mdani ndani wanadelivaje? Hata sielewi kweli niwaachie wa mikocheni na masaki
Wanadeliver na bodaboda ambayo inapita hadi kichochoroni.
 
KFC wapo kila kona Nchi za watu . Wana toll free number. Ukipiga simu inapokelewa call center yao. Haipokelewi restaurant. Call center wanakuuliza ulipo. Ukishawapa home adress yako wao wanakuombea order yako kwa kfc iliyo karibu na wewe then fasta unaletewa. Tembea uone ndugu yangu sio umekaa zako tandale unabisha kila kitu hata usivyovijua
 
Kazi kwao vijana kuyatunza
Kweli mkuu yani hostel za udom ndani zilikuwa nzuri sana zaidi ya hizo lakini kila jengo lilipokuwa likikabithiwa wanaunzi ndani ya mwaka halitamaniki chooni ndo usiseme mtu anachambia tshirt anaitupa chooni yani
 
Tz kila mtu engineer/interior designer. Wewe unajua urefu wa hio meza ya kusomea mpaka useme watu wanne hawatoshi? Nikiangalia naona chumba kina urefu wa kutosha vitanda viwili vya futi 6 kwa hio urefu at least 12feet, sasa toa futi moja au mbili za locker pembeni. Zinabaki futi kumi. Futi kumi hazikai viti vinne?
Mkuu mim ninakujibu hivi kwa sabab nimkaa hostel za udom chuo cha afya,,, tena km hujui hicho chumba cha udsm ni kdgo kulko ata cha udom nakokuambia coZ kule vinakaa vitand viwili na space kat ya kitand na kitand kuna ukuta umejngwa weny upan wa almost sentimetre sita sas hapo udsm icho kiukuta unakiona?? na vitand vyote vya udom na ivo navovion apo vya udsm vinalingan, sas utasmaj icho chumb ni kikubw km tu cha udom kinachokizid ukubwa bdo ni kero??
 
hivi hostel nayo ni stori ya kuweka fent ford?aende udom aone mabwen hayana kazi watu wanachagua walale wapi
Mkuu usidanganye watu hizi colleges CHAS,COES,CONAM, hata Hii mpya UDSBL si wanadandia tu hostels za COED,CIVE na CHSS afu kama COED hostel MchiNA kalipua hatari hostel zinavuja...
 
Mkuu mim ninakujibu hivi kwa sabab nimkaa hostel za udom chuo cha afya,,, tena km hujui hicho chumba cha udsm ni kdgo kulko ata cha udom nakokuambia coZ kule vinakaa vitand viwili na space kat ya kitand na kitand kuna ukuta umejngwa weny upan wa almost sentimetre sita sas hapo udsm icho kiukuta unakiona?? na vitand vyote vya udom na ivo navovion apo vya udsm vinalingan, sas utasmaj icho chumb ni kikubw km tu cha udom kinachokizid ukubwa bdo ni kero??
Mkuu, Mkuu Hapo juu kakujibu Vizuri tu, Vizuri ungefikiri angalau then ukamjibu ukubwa wa chumba sio Sababu ya kusema nafasi ya kusomea hakuna au haitoshi...
Nikueleze tu nimesoma UDSM na sasa nipo UDOM tena huko CHAS-TIBA

Kwanza UDSM nimekaa mabibo hostels nimekaa na Main campus hostel hostels za UDSM ndani hakuna hicho kiukuta kama cha Tiba Mabibo vitanda viwili jumala raia wa4 locker zenye milango mi4 na Meza ndefu tu watu wa4 wanasoma bila wasiwasi zile hostel za Social-UDOM ndio kama za mabibo hostels

Main campus nimemakaa Hall7 chumba ni kitanda kimoja jumla watu wa2 na locker na meza mbili za kusoma tena hivyo vyumba vidogo sana lakini sehemu ya kusoma ipo na ya kutosha tu...

Huwa najiuliza hao madesigner wa Hostel za TIBA Block 1&2 Kwann walibana sana sehemu ya kusomea....

Mpaka Sasa Nipo UDOM, napoa COED block B....
 
Una vipimo? Coz unachosema so far ni assumption. Umepima kwa macho tu huwezi kutoa conclusion kuwa viti vinne havikai hapo. Kuna picha juu inaonesha viti vitatu vimepangwa hatujui baada ya kiti cha tatu kuna kingine au vingine au hamna kabisa.

Tungekuwa kama UAE labda kila mwanafunzi angepewa apartment yake na bado kuna wengine wangesema the apartments are too small....!
 
Mkuu, Mkuu Hapo juu kakujibu Vizuri tu, Vizuri ungefikiri angalau then ukamjibu ukubwa wa chumba sio Sababu ya kusema nafasi ya kusomea hakuna au haitoshi...
Nikueleze tu nimesoma UDSM na sasa nipo UDOM tena huko CHAS-TIBA

Kwanza UDSM nimekaa mabibo hostels nimekaa na Main campus hostel hostels za UDSM ndani hakuna hicho kiukuta kama cha Tiba Mabibo vitanda viwili jumala raia wa4 locker zenye milango mi4 na Meza ndefu tu watu wa4 wanasoma bila wasiwasi zile hostel za Social-UDOM ndio kama za mabibo hostels

Main campus nimemakaa Hall7 chumba ni kitanda kimoja jumla watu wa2 na locker na meza mbili za kusoma tena hivyo vyumba vidogo sana lakini sehemu ya kusoma ipo na ya kutosha tu...

Huwa najiuliza hao madesigner wa Hostel za TIBA Block 1&2 Kwann walibana sana sehemu ya kusomea....

Mpaka Sasa Nipo UDOM, napoa COED block B....
Oky mkuu nadhani umejibu vizur,,, naomb nikuulize kwa kuish kwako UDSM je hizo hostel cjui mabiboo na kwingneko ulikoishi hizo hostel ziko sawa sawa na hizi zilizojengwa kwa sasa? coz mim nimejibu kutokan na muonekano wa hizo hostel mpya ndiyo nkasema zinaonkan ziko sawa na za chss udom!!
 
Ni muda mrefu sana sijamuona warioba ndani ya suti,,namkubali sana huyo jaji mstaafu maana yupo simple sana
 
Back
Top Bottom