Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Ngoja watoto wakulima tuje umo lazima nibandike picha ya bwana samata na nessi ukutani
 
Safi Sana, ila najua wale jamaa wa upande wa C4M naamini roho zinawauma sana, waelewe tu kwamba hakuna mambo yatasonga kama kwawa!!
Hakuna mtu roho inamuuma labda mjinga ndiyo roho itamuuma. Kwani chuo kinachagua wanafunzi ki chama? Kitakacho kupeleka pale ni akili yako haijalishi CHADEMA au CCM. Au ukiwa CHADEMA utasema hilo bweni silitaki? Acheni ushabiki usiyo na faida
Warioba mpige sound akajenge zingine SUA.

I wish ingekuwa hivyo kwa vyuo vyote vya serikali
 
Hakuna mtu roho inamuuma labda mjinga ndiyo roho itamuuma. Kwani chuo kinachagua wanafunzi ki chama? Kitakacho kupeleka pale ni akili yako haijalishi CHADEMA au CCM. Au ukiwa CHADEMA utasema hilo bweni silitaki? Acheni ushabiki usiyo na faida

Mkuu mbona povu kubwa limekutoka? Comment yangu mimi imekaaje kichama sasa?? Duuh Tz ya viwanda sijui itafanikiwa kwa nyie mpendao ubishi usio na maana..Rudia kusoma comment yangu vizuri mkuu
 
Mkuu mbona povu kubwa limekutoka? Comment yangu mimi imekaaje kichama sasa?? Duuh Tz ya viwanda sijui itafanikiwa kwa nyie mpendao ubishi usio na maana..Rudia kusoma comment yangu vizuri mkuu
Hakuna povu povu ndiyo nini? Posti yako imeeleweka hata ukisema nini hilo ndiyo jibu lake. Wa upande wa Pili ni akina nani? Chuo no kwaajili ya kusoma na kusoma mtu yoyote ana soma haijalishi itikadi nani kajenga ndiyo maana hata shule za Bakwata na za ki kristu unakutana wanafunzi wa dini tofauti japo kuwa kuna wachache kama wewe wanaochagua
 
fb30212e48b4b9906d2d84417229dd4f.jpg

Huyo mzee mwenye mvi mrefu na surubale la kujivu unaweza kukuta ni professor.
Ina maana humjui Jaji Warioba?
 
Hakuna povu povu ndiyo nini? Posti yako imeeleweka hata ukisema nini hilo ndiyo jibu lake. Wa upande wa Pili ni akina nani? Chuo no kwaajili ya kusoma na kusoma mtu yoyote ana soma haijalishi itikadi nani kajenga ndiyo maana hata shule za Bakwata na za ki kristu unakutana wanafunzi wa dini tofauti japo kuwa kuna wachache kama wewe wanaochagua

Mkuu nadhani hujanielewa, mimi post yangu sijaweka uchama/udini ndani yake, ni simple tu..inasema 'i wish ingekuwa hivyo kwa vyuo vyote vya serikali'.. nikimaanisha kuwa na vyuo vingine viwe na mazingira ya maboresho katika sehemu mbalimbali kuwawezesha wanafunzi kujisomea vyema..

Nasikitika ulininukuu vibaya au ulinukuu post ya mtu mwingine ukadhani ya kwangu
 
Hulipii. Unalipia kinapokuja ulichoagiza. Na mara nyingi wanatumia pikipiki. Na mara chace gari. So anakuja yule delivery man na chakula na receipt unalipa anasepa. Kwa nje ni rahisi sana. Kwanza watu wote wote wanaishi kwenye mitaa iliyo planned Hadi nyumba namba au room namba. Kwa bongo ni ngumu sana. Watu wengi wanaishi sehemu hazina officially mitaa. Hata hao delivery kuna sehemu hawataenda. Mfano huko uswazi sijui uwanja wa fisi.
Kwani huko uswazi hawali ivyo vyakula ama ubaguzi tu
 
Huyo ametekeleza wajibu wake.kwani hizo pesa katoa mfukoni kwake?
 
Hayo ma locker yapo juu ya meza za kusomea sasa watatunzaje vitu humo? kwa joto la dar wanaosomea kwenye hizo meza juu wamefunikwa na ma locker itakuwaje hao ma designer veepe?
Nana watawekewa ngazi maana kwa urefu ule mmm!
 
Hayo ma locker yapo juu ya meza za kusomea sasa watatunzaje vitu humo? kwa joto la dar wanaosomea kwenye hizo meza juu wamefunikwa na ma locker itakuwaje hao ma designer veepe?
Unabisha na watu wenye fani zao waliofanya hiyo kazi???..ww mtk
 
Hayo ma locker yapo juu ya meza za kusomea sasa watatunzaje vitu humo? kwa joto la dar wanaosomea kwenye hizo meza juu wamefunikwa na ma locker itakuwaje hao ma designer veepe?
Unashangaza sana!
 
Kazi nzuri na ya kupongezwa sana ila isiambatane na uongo wa Bil 10, Hizo Bil 10 zitamkwe kwenye majukwaa ya siasa ila reality haiwezekani by anyway kujenga hayo majengo yote kwa bilioni 10.
 
Hizo nyumba na mradi mzima ni kishamba.
Mchoraji mshamba na wanaojisifu ni washamba hostel bila utility buildings bila cafeteria
bila jiko.
bila sehemu ya kupumzika hakuna sehemu ya michezo
Hakuna maduka kwa ajili ya wanafunzi
Hakuna parking
Hakuna library
Hakuna sehemu ya wageni
Chumba kiduchu watu 4 na vikabati vya chekechea meza ya kusomea utafikiri uko kanisani
Ukijenga bara bara mbovu kama ile ya kilwa road au Dar Chalinze nayo ni maendeleo ?
Ufisadi ni njia nyingi. Unaweza kujenga kitu cha kisasa chenye hadhi na ukala cha juu.
Pia unaweza kujenga kitu kibovu cha kishamba bei ya chini na ukapiga hela.
Kwa ufupi hostel hizi ni za kitoto sana..wengi watagombea za mabibo
Hebu mpelekeni UDOM akaone hostel zilivo students friendly...mazingira safi kwa wanafunzi.
tukiendelea hivi ...kupata kiki tutajenga mijumba kama old communists era yatayo chafua mji kama yake ya michenzani znz.
kwenye ujenzi unaangalia usasa na mahitaji...
 
10b? mh Rais kuwa mkweli
Mafundi wetu wanalipwa mishahara.mbao zipo iringa ni kufuata tu unapewa Lori la jeshi, vibarua wafungwa,mafundi seremala VETA,Suma jkt, Vitanda SIDO.
Wataalam washauri wapo wizarani.Inawezekana
 
Hapo kama nawaona vile Wanafunzi jinsi watakavyokuwa wanapigana ' exile ' kwa kubanduana ' mubashara ' humo Vyumbani.
 
Back
Top Bottom