Tamka baraka ili na wewe ubarikiwe!Kazi nzuri RAIS .sasa hawa wanafunzi wetu baada ya mda wamiezi 3 utakuta vyoo havifanyi kazi makabati wametoa milango haina vtasa yaani jengo lishachoka mapema.bila kusahau kunguni
Well said Mkuu [emoji120]I wish ingekuwa hivyo kwa vyuo vyote vya serikali
Pia kuna hatari ya kudondokewa na vitu kutoka kwenye hizo kabati, jambo ambalo sio jema kabisa.Hayo ma locker yapo juu ya meza za kusomea sasa watatunzaje vitu humo? kwa joto la dar wanaosomea kwenye hizo meza juu wamefunikwa na ma locker itakuwaje hao ma designer veepe?
Hilo sio swali, pigia tu mstari.Kwani vyuo vyote vya serikali vina tatizo la hostel ?
[emoji15]Waungwana nina vijiswali vidogo kuhusu hizo picha.
Kuna picha mbili hapo anaonekana Waziri Mkuu msitaafu Jaji Joseph Sinde Warioba, lakini hiyo picha ya mwisho wanaonekana pamoja viongozi mbalimbali waalikwa pamoja na Rais ,Warioba hayupo.
Je! Warioba alikwenda hapo kama nani?
Kwanini hayupo kwenye picha ya pamoja?
Watu wa aina hiyo hawampi taabu Rais Magufuli.Safi Sana, ila najua wale jamaa wa upande wa C4M naamini roho zinawauma sana, waelewe tu kwamba hakuna mambo yatasonga kama kwawa!!
Ninashukuru kwa maelezo yako.Kama ulimaanisha furniture uko sahihi ni samani wala sio thamani
Hamna shida ntalifikiria ombi lako, halafu ntampelekea Mkuu.Naomba zitengwe hostel 2 kwa ajili ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Ardhi maana wanapata shida sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hivi hostel nayo ni stori ya kuweka fent ford?aende udom aone mabwen hayana kazi watu wanachagua walale wapi
Hayo maneno yako yapeleke kwa wanafunzi wa UDSM ambao hawana sehemu nzuri ya kuishi ambayo iko karibu na chuo.hivi hostel nayo ni stori ya kuweka fent ford?aende udom aone mabwen hayana kazi watu wanachagua walale wapi
Brain ndio kila kitu.watu wanatamkiwa baraka kanisani pamoja na baraka zote za wachungaji pamoja na zawatu lakini wanaachana bado. Ukwer lazima usemweTamka baraka ili na wewe ubarikiwe!
Believe that way forever!Brain ndio kila kitu.watu wanatamkiwa baraka kanisani pamoja na baraka zote za wachungaji pamoja na zawatu lakini wanaachana bado. Ukwer lazima usemwe
Wee sitaki kukumbuka kero ya vyoo udsm main campus maana vyote viko hivo kasoro ground floors tu. Hall 7! Eee Mungu alitulinda tu jamani chuo! Bora Mabibo, ajabu tulivyokuwa tunang'ang'ania Main campus! Sijui watoto wa siku hizi.UDOM Waliweka vyoo vya kukalia then maji yakawa changamoto walivifunga wenyewe
Hulipii. Unalipia kinapokuja ulichoagiza. Na mara nyingi wanatumia pikipiki. Na mara chace gari. So anakuja yule delivery man na chakula na receipt unalipa anasepa. Kwa nje ni rahisi sana. Kwanza watu wote wote wanaishi kwenye mitaa iliyo planned Hadi nyumba namba au room namba. Kwa bongo ni ngumu sana. Watu wengi wanaishi sehemu hazina officially mitaa. Hata hao delivery kuna sehemu hawataenda. Mfano huko uswazi sijui uwanja wa fisi.Unalipia kwanza ndo uletewe ama