Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

hivi hostel nayo ni stori ya kuweka fent ford?aende udom aone mabwen hayana kazi watu wanachagua walale wapi
Udom nacho unakifananisha na UD... Khaaa ndio maana wameona hakina kazi wakaweka maofis yao hapo,,,wengi pale ni vilaza
 
Una vipimo? Coz unachosema so far ni assumption. Umepima kwa macho tu huwezi kutoa conclusion kuwa viti vinne havikai hapo. Kuna picha juu inaonesha viti vitatu vimepangwa hatujui baada ya kiti cha tatu kuna kingine au vingine au hamna kabisa.

Tungekuwa kama UAE labda kila mwanafunzi angepewa apartment yake na bado kuna wengine wangesema the apartments are too small....!
Sijapima mkuu ila ivo vitanda ni vipimo tosha!!
 
Oky mkuu nadhani umejibu vizur,,, naomb nikuulize kwa kuish kwako UDSM je hizo hostel cjui mabiboo na kwingneko ulikoishi hizo hostel ziko sawa sawa na hizi zilizojengwa kwa sasa? coz mim nimejibu kutokan na muonekano wa hizo hostel mpya ndiyo nkasema zinaonkan ziko sawa na za chss udom!!
Hizo hostels mpya ni tofauti na mabibo hostels sana tu kuanzia structures hasa kwa nje mpaka rangi... Ila I believe sehemu ya kusomea ndani ipo ya kutosha kama Jana sina uhakika kama ulipata muda wa kumsikiliza Prof Mukandara wakati ana hutubia Hostels zina uwezo wa kuweka Watu 3840, Pia akasema wamenunua magodoro 3840, na viti 3840 hapo unaona kabisa Kila chumba kitakuwa na viti4 na hapo unaona kabisa nafasi ya kusomea IPO...
 
ACHA UJINGA,WALIO DESIGN WALIANGALIA VYOTE ,LOCKER, SEHEMU YA KUSOMEA JOTO N.K SI BUSARA KUKOSOA HATA USIYO YAJUA. KWA HILI ALILOTEKELEZA MH. HATUNA BUDI KUPONGEZA KAMA HUTAKI SHAURI YAKO . WEWE "VEEEPE"?
Aende mabibo napo hvo je hua hawasomi
 
Hizo hostels mpya ni tofauti na mabibo hostels sana tu kuanzia structures hasa kwa nje mpaka rangi... Ila I believe sehemu ya kusomea ndani ipo ya kutosha kama Jana sina uhakika kama ulipata muda wa kumsikiliza Prof Mukandara wakati ana hutubia Hostels zina uwezo wa kuweka Watu 3840, Pia akasema wamenunua magodoro 3840, na viti 3840 hapo unaona kabisa Kila chumba kitakuwa na viti4 na hapo unaona kabisa nafasi ya kusomea IPO...
Sawa mkuu swala la kununua viti ni kawaida tu,,, kwani udom-chss hawajaweka kila chumba vitanda na viti kulngana na idadi ya watu watakaotumia chumba?? sifanyi kupnga wazo la mh ni zuri lakin kwa upand mwingin wawe wanaangalia na ubora wa majengo ynyew kulingan na mahitaji ya watumiaj,,sio ili mradi tu wamejenga basi watymiaj watjua wenyew!!
 
fb30212e48b4b9906d2d84417229dd4f.jpg

Huyo mzee mwenye mvi mrefu na surubale la kujivu unaweza kukuta ni professor.
Ina maaana jamaa humjui jaji warioba au utani
 
Sawa mkuu swala la kununua viti ni kawaida tu,,, kwani udom-chss hawajaweka kila chumba vitanda na viti kulngana na idadi ya watu watakaotumia chumba?? sifanyi kupnga wazo la mh ni zuri lakin kwa upand mwingin wawe wanaangalia na ubora wa majengo ynyew kulingan na mahitaji ya watumiaj,,sio ili mradi tu wamejenga basi watymiaj watjua wenyew!!
OK.. Umesomeka Mkuu..
 
Sijapima mkuu ila ivo vitanda ni vipimo tosha!!
Sawa vitanda viwili ni 12ft. Sasa urefu12ft huwezi kuweka viti vinne? Tutoe 2ft za locker, 10ft huwezi kuweka viti vinne? Hamna kitu cha kawaida kama hivyo vilivyowekwa hapo kinazidi upana wa 2ft.
 
fb30212e48b4b9906d2d84417229dd4f.jpg

Huyo mzee mwenye mvi mrefu na surubale la kujivu unaweza kukuta ni professor.
Ndiyo Mkuu,, huyo mwenye "surubale" la kujiuvu ni Professor maarufu sana wa Physics!! Ila utakuwa Msukuma wewe eti "Surubale?"
 
baada ya wiki tu KUNGUNI/MENDE/CHAWA nao lazima waje kuzindua makazi mapya
 
Hayo ma locker yapo juu ya meza za kusomea sasa watatunzaje vitu humo? kwa joto la dar wanaosomea kwenye hizo meza juu wamefunikwa na ma locker itakuwaje hao ma designer veepe?

Kwa kuangalia ukubwa wa chumba, wangeyaweka wapi? Uonavyo wewe?
 
Kwa nchi yetu utunzaji ni changamoto kubwa sana.

Tunasoma lakini hatuelimiki!

Hiyo ni hatua ya pili tutafika tu huko, kwani Mwendokasi kabla ya kuanza walikuwa wanasemaje? Mbona watu hatujaaribu kitu na yako vizuri tu?
 
Back
Top Bottom