Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Muonekano wa ndani wa mabweni mapya UDSM

Sasa mbona watu wazima hawa wanawalaza wanne chumba kimoja privacy iko wap hapo???
Mbna MUHAS na UDOM wamejengewa miaka kadhaa ilopita lkn wamedesign vizuri hata watu wawili au mmoja kwa kila rum ambapo mtu unaweza kujistiri kukaa wote wa jinsia moja chumban haimaanish kila kitu mnaweza kufanya mkiwa mnaonana... Wameshindwa hata kunakili tu???
Vitu vya magufuli viko quantity oriented quality ya vitu anavyofanya ni hovyo kabisa rejea ile meli, pangaboya n.k
 
Changamoto itakayojitokeza kwa sasa ni utunzani wa mabweni hasa kwa ndani.

Baada ya changamoto moja kumalizika, kwa sasa changamoto iliyoko mbele ni utunzani.

Penye nia pana njia na kupanga ni kuchagua.

Polepole tutafika tu!

IMGS0315.JPG

IMGS0317.JPG

IMGS0322.JPG

Rais Magufuli na Mama Magufuli wakiangalia samani ndani ya mabweni.

IMGS0326.JPG

IMGS0300.JPG

Jaji Joseph Warioba na Rais Magufuli wakibadilisha mawazo baada ya kukagua mabweni mapya USDM.
IMGS0333.JPG
Hongera JPM,safari ni ngumu sana, ila tusikate tamaa.
 
Anyway kwa hilo hongera baba nkwabi....lakini kwenye utunzaji lazima tutafute mchawi
 
Haya maisha ya kushare room niliachana nayo A-level, ninakumbuka chuo nilipata chumba ambacho ndiyo kilikua gharama nafuu kuliko vyote, nilikuwa na kitanda, wardrobe, reading table, na sink. Choo, bafu na jiko nilishare na wengine 5. Pia sikukaaa muda mrefu sana.
 
Sasa mbona watu wazima hawa wanawalaza wanne chumba kimoja privacy iko wap hapo???
Mbna MUHAS na UDOM wamejengewa miaka kadhaa ilopita lkn wamedesign vizuri hata watu wawili au mmoja kwa kila rum ambapo mtu unaweza kujistiri kukaa wote wa jinsia moja chumban haimaanish kila kitu mnaweza kufanya mkiwa mnaonana... Wameshindwa hata kunakili tu???
Vitu vya magufuli viko quantity oriented quality ya vitu anavyofanya ni hovyo kabisa rejea ile meli, pangaboya n.k
Unataka walale mmoja mmoja kwani wako nyumbani.Hao wamefuata elimu sio privacy. Privacy wakiwa kwao. Sisi wazee wao tumesoma hivyo hivyo UDSM,SUA na Mzumbe.Kwanza wana bahati kupata opportunity hiyo.
 
Unataka walale mmoja mmoja kwani wako nyumbani.Hao wamefuata elimu sio privacy. Privacy wakiwa na kwao. Sisi wazee wao tumesoma hivyo hivyo UDSM,SUA na Mzumbe.Kwanza wana bahati kupata opportunity hiyo.
hostel za muhimbili pale mbna wanakaa mmoja mmoja wao muhas ndio nyumban kwao???
Lkn si bez ila ingependeza wapatiwe uhuru unaopatkana kwny hostel za private au za vyuo vingne... UDSM kwa status yake haikutakiwa kuwa na kasoro zinazoonekana kirahis hvyo
 
Sasa mbona watu wazima hawa wanawalaza wanne chumba kimoja privacy iko wap hapo???
Mbna MUHAS na UDOM wamejengewa miaka kadhaa ilopita lkn wamedesign vizuri hata watu wawili au mmoja kwa kila rum ambapo mtu unaweza kujistiri kukaa wote wa jinsia moja chumban haimaanish kila kitu mnaweza kufanya mkiwa mnaonana... Wameshindwa hata kunakili tu???
Vitu vya magufuli viko quantity oriented quality ya vitu anavyofanya ni hovyo kabisa rejea ile meli, pangaboya n.k
Nadhani hujui wanafunzi wa MUHAS Wanavyoteseka kwa kukosa HOSTEL
 
Kazi nzuri ya kupongezwa, changamoto ni utunzaji, nakumbuka mabibo hostel ilikuwa na majiko kwa kila wing, dinning room na common rooms zenye makochi mapya na mazuri kwa ajili ya kupumzikia, kilichotokea baadae friji wakaanza kuweka maji yaliyotoka kuchemshwa, majiko wakawa wanachemshia maharage mpaka yanaungulia pale, mito ya common rooms ikahamia vyumbani na wengine wakaanza kulala common rooms na mpaka sasa sijui hali ikoje
 
hivi hostel nayo ni stori ya kuweka fent ford?aende udom aone mabwen hayana kazi watu wanachagua walale wapi
Watu wa namna kama yako ni wengi pia, nakumbuka mlipuuza mradi wa mabasi ya mwendo kasi, pia hata ndege, lakini hiyo ni asili ya mtu mwenyewe tena inawezekana hata kwako huna hata viti wala kitanda.
 
Acheni uongo!

Kutoka Posta mpka Pugu kajiungeni ni zaid ya saa mbili halafu Nyie mnasema delivery ni ndani ya dakika 30 kwa ndani ya Dar!
Wanatumia tukutuku,fungua mawazo yako basi, sio kila kitu unapinga hata hukijui, au unatafuta kiki hapa jf?
 
Wanatumia tukutuku,fungua mawazo yako basi, sio kila kitu unapinga hata hukijui, au unatafuta kiki hapa jf?

Sasa hiyo Kick ya JF naenda kuitumia wapi wakat niki log off Hakuna anaenijua?

Hiyo Tukutuku ya Kutoka Posta mpaka Chanika au Pugu kajiungeni wakat wa Mchana kwa Nusu saa labda iwe inapita angani!
 
Kwa nini lakini wanajenga kama bweni la secondary? Hivi wanachuo kuwaweka wanne chumba kimoja kisicho jiko wala sehemu ya kuongelea, na bado wengine hawana mahala pa kufanyia kazi, siyo kupiga hatua nyuma kimaendeleo huku?

Nilitazamia partitions zitafanyika zenye hadhi ya chuo, ambazo hazichuji leo kwa wanafunzi wa ndani na hata wanaotoka nje. Halafu tena wakikusanya nguvu wanedelee kupanua.

Mtanisamehe lakini hii imenivunja moyo na ninaona ni sawa na wajenzi wa barabara nyembamba sisizo na reserve huku wakijua matumizi ya barabara yanaongezeka na population pamoja na maendeleo.

UKweli kama zote ziko hivyo ndani, bado sana sana sana. Tuache kufanya vitu kwa kutatua matatizo yaliyopo tu tena kwa dharura. Tujenge miundo mbinu inayoashiria uelewa na maono mapana juu ya maendeleo.

Tunahitaji kuondokana na dhana ya umaskini ya kuona bora hata vibanda umiza. Ni vyema tukaamua kutransform minds zetu na kubadili taifa katika kila tulipangalo na kulifanya. Hapa ninaoan ni tangazo la umaskini wa mali na fikra ambao ni endelevu. Nani atabdili nchi yangu?

Pengine tuwe na serikali nyingine mpya yenye mawazo na mrengo wa kisasa zaidi . Hili limenivunja moyo. Hakuna maono.
Serikali nyingine kutoka wapi? Kwa mamvi? Never
 
Back
Top Bottom