Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,861
- 93,648
Yap si wanyonge!Nakubaliana nawe kwa 100% Ndugu.
Yap si wanyonge!Nakubaliana nawe kwa 100% Ndugu.
Mwanasiasa aliyewapa hiyo ruhusa angelisema hili la Kiakili kama ulilosema Wewe hapa ningemwelewa. ila Yeye kawaambiwa tena kwa kuwapa kabisa Jeuri na Kiburi kuwa waingie na kamwe wasibugudhiwe kwani hao ni Wapigakura wake na Masikini anaowapenda. Kuna Mtu naanza kuhisi nilivyokuwa nikimpenda huko nyuma sikutumia muda wangu mwingi Kumtathmini kwani naona anaharibu zaidi kuliko kutengeneza.Wawepo tu muhim wapangwe vzr na wajengewe sehem nzur, wawe machinga wa kisasa
Pale tumehama biashara itakuw chiniKwanini wasifanyie pale ubungo?
Kwani airport hakuna abiria wanaoenda mikoani?Tuacheni wanyonge tutumie fursa hii kutoa huduma kwa wasafiri. Na bado kwenye reli iendayo kasi mtatuona pia😂😂
Stand ya ma bas ya mkoani sio sawa na airport, msilinganishe hivyo
Nimesema huwezi linganisha airport na stand ya mabas, huelewi😎Kwani airport hakuna abiria wanaoenda mikoani?
NimekuelewaNimesema huwezi linganisha airport na stand ya mabas, huelewi😎
achana nae asikutingishe tumbo la uzazi shemeji.. 🥴Nimesema huwezi linganisha airport na stand ya mabas, huelewi😎
Nimekuelewa
Swali langu linasema Airport hakuna abiria wa mikoani?
Shemeji hawa watu wanaowaonea wivu wamachinga na mamantilie kiasi hiki sijui kwanini na wao wasiingie kwenye hiyo biashara tuu🤔achana nae asikutingishe tumbo la uzazi shemeji.. 🥴
Hakuna kitu kama hicho na wananchi wamehama?Pale tumehama biashara itakuw chini
Kweli wanapiga vibanda vya mama ntilie, pale parking, wauze mitumba na 'kalcha' mbele na nyuma ya maviete.😂😂Waende na airport pale, kwani si kuna wasafiri?