Muonekano mzuri wa Stendi mpya ya Mbezi umeharibiwa na Siasa zetu za kutafuta sifa kwa Wanyonge waliobatizwa Masikini

Hali ya Mbezi sasa hivi ni mbaya sana. Kuna foreni kubwa za magari kama ilivyokuwa Ubungo zamani. Tatizo ni kuwa barabara kuelekea Kinyerezi baada ya round about ni nyembamba lakini wameruhusu wamachunga kuweka mabanda yao barabarani na sehemu za watembea kwa miguu. Viongozi wanaona lakini ni kama hawapo. Unaweza kukaa masaa mawili kwenda au kutoka Kinyerezi jioni. Viongozi wapo wapi?
 
Back
Top Bottom