AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 12,241
- 20,543
Labda Mungu ndio Mimi hapa wewe utajua hakuna Mungu na wakati huo haunioni?Hakuna Mungu.
Mungu hayupo.
Labda Mungu ndio Mimi hapa wewe utajua hakuna Mungu na wakati huo haunioni?Hakuna Mungu.
Mungu hayupo.
Hahaha hapa tukimuita hamis77 uzi utachafukwa huuHakuna hata siku moja Mungu wa wakristo atakuwa mungu wa waislamu. Hao ni kama NURU na giza!
Ni upotoshaji mkubwa kusema kuwa Mungu wa wakristo aliyefanyika mwili akaja akakaa na wanadamu, atakuwa huyohuyo mungu wa hao asiyejua hatima yake yeye na 'mtume' wake!
Umekuwa kivuruge😅😅😅Hahaha hapa tukimuita hamis77 uzi utachafukwa huu
Unafahamu the problem of evil, the Epicurean Paradox ni nini?vitu vingine ni kutumia tuu comon sense logic,
- Baada ya Mungu kumuumba binadamu,alimruhusu shetani kuumba temptation, ule mti wa katikati na lile tunda ni devils creation
- Mungu akawakataza tuu kula lile tunda,bila kuwaambia ni tunda la shetani
- Wakati shetani anaingia bustanini Mungu alimuona but...
- Wakati the devil anamtempt Eva,Mungu anaona kila kitu but ...
- Wakati Eva na the devil wana enjoy kula tunda,Mungu anawaona but...
- Wakati Eva anamfundisha Adam jinsi tunda linavyomenywa na linavyomegwa Mungu anaona but
- Wakati Adam na Eva wanamega tunda Mungu akawaacha,na kutokana na utamu wa tunda,wote wawili waluenjoy na kuishia zao usingizini,Mungu anaangalia but ...
- Wakati Yuda Iskariote anapanga kumsaliti Yesu,Mungu anaona but...
- Wakati Yesu ambaye ndiye mwanae mpendwa wake anayependezwa naye, anateswa, kusulubiwa na kuwambwa msalabani, Mungu anaona yote kila kitu but ...
- Kabla Yesu hajakata roho alitamka maneno “Eloi, Eloi, lama sabachthani?” "Mungu Wangu Mungu Mbona Unaniacha?"
- Je unajua hiyo but ni nini?
- P
Hahaha hapa usiku utakua mrefu usiulize maswali magumu tafadhari, the epicurean paradox ni ngumu kuelezeaUnafahamu the problem of evil, the Epicurean Paradox ni nini?
Ni muhimu tuelezane kwa sababu nimegundua kuna watu wanabishana bila kuelewa kina cha haya mabishano.Hahaha hapa usiku utakua mrefu usiulize maswali magumu tafadhari, the epicurean paradox ni ngumu kuelezea
Ni muhimu kweli mkuu, sasa tuelezee hio the epicurean paradox ni nini ili tuelewaneNi muhimu tuelezane kwa sababu nimegundua kuna watu wanabishana bila kuelewa kina cha haya mabishano.
Unabishana na mtu anakujibu Mungu lazima yupo kama hayupo wewe ungekuwapo vipi?
Kashamaliza hapo 😂😂😂
No siifahamu bali kuna concepts kumhusu Mungu, nimeziformulate mwenyewe kuwaUnafahamu the problem of evil, the Epicurean Paradox ni nini?
No siifahamu bali kuna concepts kumhusu Mungu, nimeziformulate mwenyewe kuwa
P
- Mwanzo wa Mungu ndio mwanzo wa shetani
- God hss powers na Satan has powers
- The source of God's powers is the same source of Satanic powers
- God is more powerful than Satan in two aspects only, the creation of life and taking back the life,
- Everything else that God can do, the devil can do ile miujiza yote ya Mungu, the devil can
- The sad fact ambayo waumini vichwa panzi hawawezi kukubali, ni no matter how powerful God is, hawezi kum destroy the devil.
- Zile sifa zote za Mungu, omnipotent, Omniscient na omnipresent, na the devil anazo.
- Mungu yuko ndani yetu, and the devil is beside akiharibu kila Mungu anachokipanga
- The devil is very good at disguising as God hivyo kuna wengi wanamwabudu shetani wakiamini ni Mungu!
- Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
The Problem of Evil.Ni muhimu kweli mkuu, sasa tuelezee hio the epicurean paradox ni nini ili tuelewane
CCM na Samia wao wana mungu ila CHADEMA ina Mungu.Mungu wa CCM na Mungu wa Mwenyekiti wa CCM, siyo sawa na Mungu wa CHADEMA na Lissu. Hawa ni Mungu tofauti.
Mungu wa Mafwele, Wambura na Mkunda, Mulilo siyo sawa na Mungu wa wengine.
Na inawezekana Mungu wa Waislamu siyo sawa na Mungu wa Wakristo
Hizo ni propaganda za wanasiasa za kuwateka watu kisaikolojia. Mungu hawezi kuwa mmoja huku ameshika quran na huku ameshika biblia vitabu vinavyopingana. Yaani Mungu awe mmoja halafu ajipinge mwenyewe. Yaani huyo Mungu, kwa waislam aruhusu majini kuwa ni sehemu ya utakatifu wake na kwa wakristo majini yaonekane ni pepo wachafu. Mungu wa waislamu ni tofauti na Mungu wa wakristo.Kwa Wakrsto na Waislamu, Mungu ni mmoja aliyeumba mbingu na nchi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana, sheria yake ni moja, zile amri kumi za Mungu alozopewa Mussa kwenye Torati
Mungu amemruhusu shetani kuwavuna watu wake hivyo wanamfuata shetani na kumtumikia shetani!. Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?
P
1. Ismail na Isihaka ni nani aliyetolewa sadaka..? 2. Je, dini ni za Mungu? kwanini basi Mungu atoe maagizo yanayopingana kati ya dini na dini? hapo ndipo nakubaliana na mleta mada juu ya miungu. Kwamba kuna Mungu na mungu (devil). 2 CORINTHIANS 4:4. Huyu mungu wa dunia hii ndiye huwapindulia watu mambo ya Mungu.Kwa Wakrsto na Waislamu, Mungu ni mmoja aliyeumba mbingu na nchi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana, sheria yake ni moja, zile amri kumi za Mungu alozopewa Mussa kwenye Torati
Mungu amemruhusu shetani kuwavuna watu wake hivyo wanamfuata shetani na kumtumikia shetani!. Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?
P
IndeedHakuna Mungu.
Mungu hayupo.
Aliyetolewa sadaka ni Ismail wakati huo Isaka hajazaliwa Ismail akiwa ndie mwana Wa pekee wa Ibrahim, Isaka hakuwahi kuwa mwana Wapekee, ndio maana mpaka leo, Waislamu wanaadhimisha Eid Al Hajj , Iddi ya kuchinja.1. Ismail na Isihaka ni nani aliyetolewa sadaka..?
Hapana Mungu hakuleta dini zozote. Ameleta tuu Amri Kumi kwenye Torati ya Mussa, ndio sheria pekee ya Mungu, kwenye Bible ipo na kwenye Quran ipo2. Je, dini ni za Mungu?
Mungu ametoa sheria moja tuu, Torati ya Mussa na imesimama haina kona konakwanini basi Mungu atoe maagizo yanayopingana kati ya dini na dini?
Mungu wa kweli ni Mungu mmoja tuu, na sheria ya kweli ya Mungu wa kweli ni Sheria moja tuu, sheria Mussa kwenye Torati, au kwa jina maarufu, Torati ya Mussa.hapo ndipo nakubaliana na mleta mada juu ya miungu. Kwamba kuna Mungu na mungu (devil). 2 CORINTHIANS 4:4. Huyu mungu wa dunia hii ndiye huwapindulia watu mambo ya Mungu.
Shetani ana nguvu sana mlango wakr mpana wa Mungu mwembambaNjia ile ni nyembamba inayokwenda uzimani,halafu njia ya kwenda motoni ni pana. Mungu ana nguvu zaidi ya shetani, ila shetani pia ana nguvu ni ominipotent na omnipresent Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake
P