Mungu hutenda mema tuu,na shetani hutenda maovu, kukitokea uovu wowote kwa watu wake, ni Mungu ameruhusu shetani atende huo uovu.
Japo inaelezwa Yakobo alikuwa na wana 12, watoto wa kike, hawakuhesabiwa, hiyo kuna mjaamaa mmoja alimbaka binti wa Yakobo akiitwa Dina na kumtoa B, kaka zake 10 walikwenda kwenye huo mji, na kuwaambia ili kijana wao aruhusiwe kuoa kwao, lazima wanaume wote wa ukoo huo watahiriwe, wakakubali na kuwatahiri wanaume wote, wakati wanaugulia vidoda, waliwavamia usiku, nyumba hadi nyumba, kuchinja wanaume wote, waka loot kila cha thamani, wakawachukua mateka wanawake na watoto, wakateketeza nyumba zote!.
Hao wote waliouwawa wana kosa gani?.
Daudi alimtamani mke wa Uria, Bersheeba, akamuua Uriah na kumtwaa Bersheeba na kumfanya mkewe, ndiye aliyemzalia Suleiman. Uriah alikuwa na kosa gani?.
Wakati wana Israel wakitoroka kutoka Misri, kila mzaliwa wa kwanza wa binadamu hadi wa wanyama walikufa. Walikuwa na kosa gani?.
Sometimes ili ukombozi upatikane ni lazima kutolewa kwa kafara ya damu.
P