Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,583
- 134,218
Mungu kwa maana ya Mungu, huwa ni mmoja tuu, wengine wote ni miungu.Mungu wa CCM na Mungu wa Mwenyekiti wa CCM, siyo sawa na Mungu wa CHADEMA na Lissu. Hawa ni Mungu tofauti.
Mungu wa Mafwele, Wambura na Mkunda, Mulilo siyo sawa na Mungu wa wengine.
Na inawezekana Mungu wa Waislamu siyo sawa na Mungu wa Wakristo
Nimebaini https://www.jamiiforums.com/threads...a-sulubiwa-huku-mungu-anaangalia-tuu.2471720/
P.