Mungu siyo mmoja, kuna Mungu wengi. Why?

Mungu siyo mmoja, kuna Mungu wengi. Why?

Hakuna aliyemuona Mungu, kama vile hakuna aliyeziona akili.
Miungu iliyotengenezwa na wanadamu ipo mingi tu lakini Munguwa sifa za kuitwa Mungu wa haki na wa kweli ni Mmoja tu. Usifikirie kwa kutumia chombo kinachochochewa na hasira hauta uona ukweli.
Huyo mmoja wa ukweli na haki ni yupi kati ya Allah, Yesu, Elohim/Jehovah au Krishna??
 
No utawala ni wa Mungu ndiye ameuweka, ila ni Mungu ndiye ameruhusu ushetani kutamalaki na shetani kutamba, muda muafaka ukiwadia ni Mungu mwenyewe atarekebisha.
P
Kwa nini anaruhusu shetani kutamalaki na kutambua na kutesa watu??
 
No utawala ni wa Mungu ndiye ameuweka, ila ni Mungu ndiye ameruhusu ushetani kutamalaki na shetani kutamba, muda muafaka ukiwadia ni Mungu mwenyewe atarekebisha.
P
Je unakubaliana namimi mtu wa Mungu kwa jinsi unavyosema ushetani wa kutisha umemjaa,na wakati ukifika lazima afyekwe ili uangamizi ushetani na ukaribishe nuru kwa andiko lako??
 
Kwa Wakrsto na Waislamu, Mungu ni mmoja aliyeumba mbingu na nchi, na vitu vyote vinavyoonekana na visivyo onekana, sheria yake ni moja, zile amri kumi za Mungu alozopewa Mussa kwenye Torati

Mungu amemruhusu shetani kuwavuna watu wake hivyo wanamfuata shetani na kumtumikia shetani!. Japo Wakristo na Waislamu ni Watoto wa Baba Mmoja, Nabii Ibrahim na Mungu ni Mmoja, Kati ya Ismail na Isaka ni nani aliyetolewa Sadaka ya Kuchinja?

P
Siyo kweli hao ni tofauti kabisa. Hakuna mfanano.
 
Mungu wa CCM na Mungu wa Mwenyekiti wa CCM, siyo sawa na MUNGU wa Chadema na Lisu. Hawa ni MUNGU tofauti.

Mungu wa Mafwele, Wambura na Mkunda , Mulilo siyo sawa na Mungu wa wengine.

Na inawezekana MUNGU wa Waislamu siyo sawa na MUNGU wa Wakristo

MUNGU SI MMOJA
 
Kila kitu mnakipima kwa uzito wa mauaji, yapo mengi sana yenye kupaswa kuongelewa.

Kila mnapowaongelea waliotangulia mbele za haki tareh 29 October mnawaumiza nafsi jamaa zao wa karibu, inakuwa too much.

Punguzeni nongwa.
Ww ni mfaidika wa yale mauaji ya mo29, hivyo lazima utake unyama ule ufumbiwe macho. Ni hivi yale hatusahau, na sio kutosahau tuz lazima tulipe kisasi.
 
Huyo mmoja wa ukweli na haki ni yupi kati ya Allah, Yesu, Elohim/Jehovah au Krishna??

Ww ni mfaidika wa yale mauaji ya mo29, hivyo lazima utake unyama ule ufumbiwe macho. Ni hivi yale hatusahau, na sio kutosahau tuz lazima tulipe kisasi.
Maana kisasi ni haki kwa aliyedhulumiwa,pia ni aibu na laana kuyafumbia macho
 
Kwa nini anaruhusu shetani kutamalaki na kutambua na kutesa watu??
Kiukweli kuna vitu vingi havifundishwi kwa ukweli,japo inaelezwa Mungu ndiye muumba viumbe vyote akiwemo shetani, ile the voices from within inaniambia sio kweli, mwanzo wa Mungu ndio mwanzo wa shetani, Mungu ana nguvu za mwanga,powers of light, shetani ana nguvu za giza,powers of darkness, japo Mungu ana nguvu zaidi ya shetani,ila hawezi kumwangamiza shetani,
ndio maana shetani anatamalaki!Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake
P
 
Siyo kweli hao ni tofauti kabisa. Hakuna mfanano.
Mungu wa kwenye Bible Takatifu ndiye yule yule wa kwenye Quran Tukufu,aliyewaumba Adam na Hawa,Wakristo na Waislamu, ni watoto wa baba Nabii Ibrahim,Waislamu ni uzao wa Ismail, Wakristu uzao wa Isaka, sheria ya Mungu kwa dini zote mbili ni sheria moja ya Mussa kwenye Totati。
P
 
Katika mizee inayozeeka vibaya humu JF na wewe upo..!!
ubarikiwe sana,
Hivi hizi links za magazeti yako kuna mtu atakaa apoteze muda kuyasoma?
kosa langu,ni siandikii vilaza,kwa taarifa yako,wenye vichwa vyao,tuko nao sana!
Kuna siku nilijaribu hata sikumaliza ni uchawa tupu..!! 😹😹
Kipimo changu cha vilaza,ni wanaonisoma na kuniona chawa!
P
 
Kiukweli kuna vitu vingi havifundishwi kwa ukweli,japo inaelezwa Mungu ndiye muumba viumbe vyote akiwemo shetani, ile the voices from within inaniambia sio kweli, mwanzo wa Mungu ndio mwanzo wa shetani, Mungu ana nguvu za mwanga,powers of light, shetani ana nguvu za giza,powers of darkness, japo Mungu ana nguvu zaidi ya shetani,ila hawezi kumwangamiza shetani,
ndio maana shetani anatamalaki!Hivi Mungu amemshindwa shetani kabisa? Basi shetani tumpe maua yake
P
Unajuaje kama mafundisho yanayosema tawala zote zinatoka kwa mungu sio mafundisho ya ukweli?
 
Unajuaje kama mafundisho yanayosema tawala zote zinatoka kwa mungu sio mafundisho ya ukweli?
its a formula Mungu ndiye muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivyomo, hata wachawi,majini,wanga na mashetani,wameumbwa na Mungu,ni Mungu huweka tawala zote za mataifa yote hata zile tawala za kishetani, kama ilivyo binadamu wote ni wa Mungu hata kama wanamtumikia shetani,hata wachawi na wsshirikina ni watu wa Mungu!

Sasa kwa nini unasema tena mungu hajamuumba shetani?!
 
Ndio neno Mungu ni cheo tu mdau, ndio maana Mwenyenzi Mungu anasema usiabudu miungu wengine ila mimi tu. Yeye ana majina yake tofauti kabisa na kajitofautisha na wengine kajiita wenye enzi Mungu yaan yeye anataawala enzi zote anaitwa pia Yahwe Yehova nk.
 
Mungu wa kwenye Bible Takatifu ndiye yule yule wa kwenye Quran Tukufu,aliyewaumba Adam na Hawa,Wakristo na Waislamu, ni watoto wa baba Nabii Ibrahim,Waislamu ni uzao wa Ismail, Wakristu uzao wa Isaka, sheria ya Mungu kwa dini zote mbili ni sheria moja ya Mussa kwenye Totati。
P
Hakuna hata siku moja Mungu wa wakristo atakuwa mungu wa waislamu. Hao ni kama NURU na giza!
Ni upotoshaji mkubwa kusema kuwa Mungu wa wakristo aliyefanyika mwili akaja akakaa na wanadamu, atakuwa huyohuyo mungu wa hao asiyejua hatima yake yeye na 'mtume' wake!
 
Sasa kwa nini unasema tena mungu hajamuumba shetani?!
vitu vingine ni kutumia tuu comon sense logic,
  1. Baada ya Mungu kumuumba binadamu,alimruhusu shetani kuumba temptation, ule mti wa katikati na lile tunda ni devils creation
  2. Mungu akawakataza tuu kula lile tunda,bila kuwaambia ni tunda la shetani
  3. Wakati shetani anaingia bustanini Mungu alimuona but...
  4. Wakati the devil anamtempt Eva,Mungu anaona kila kitu but ...
  5. Wakati Eva na the devil wana enjoy kula tunda,Mungu anawaona but...
  6. Wakati Eva anamfundisha Adam jinsi tunda linavyomenywa na linavyomegwa Mungu anaona but
  7. Wakati Adam na Eva wanamega tunda Mungu akawaacha,na kutokana na utamu wa tunda,wote wawili waluenjoy na kuishia zao usingizini,Mungu anaangalia but ...
  8. Wakati Yuda Iskariote anapanga kumsaliti Yesu,Mungu anaona but...
  9. Wakati Yesu ambaye ndiye mwanae mpendwa wake anayependezwa naye, anateswa, kusulubiwa na kuwambwa msalabani, Mungu anaona yote kila kitu but ...
  10. Kabla Yesu hajakata roho alitamka maneno “Eloi, Eloi, lama sabachthani?” "Mungu Wangu Mungu Mbona Unaniacha?"
  11. Je unajua hiyo but ni nini?
  12. P
 
Back
Top Bottom