Mungu ndiye aliyempa Urais Mama Samia. Hawezi kushushwa na Mwanadamu mwenye chuki binafsi

Nani alikuibia kura yako uliyopigaa na ulimpigia Nani ukaambiwa kuwa Kura yako haijaonekana kwenye boksi
Unajifanya kipofu bado zamu yako siku moja utaomboleza tu kama Sukuma gang wanavyoomboleza leo, tuliwaambia sana wakatuita vibaraka wa mabeberu na kila kejeli za kila aina lakini leo wanaomba Mungu wao afufuke ili wapumue na wewe muda wako ukifika tutakwambia endelea kulamba viatu.
 
Unajifanya kipofu bado zamu yako siku moja utaomboleza tu kama Sukuma gang wanavyoomboleza leo,tuliwaambia sana wakatuita vibaraka wa mabeberu na kila kejeli za kila aina lakini leo wanaomba Mungu wao afufuke ili wapumue na wewe muda wako ukifika tutakwambia endelea kulamba viatu.
Nimeshasema CCM ni moja,wanaccm ni wamoja na chama ni kimoja
 
The whole election process purely human. The only alternative to that ni devilish. Watu wanaibiwa kura wewe unamleta Mungu kiwepesi hivyo. The whole process alivyoingia madarakani na Mangu wa a scum. Labda ujitoe ufahamu tu
Mwendazake alikwiba ili SSH awe Rais.
 
Atatoka kwa Mujibu wa mipango ya Mungu sio kelele za mitandaoni zisizo na msingi.
Vilio vimetanda Nchi nzima watu wanaugulia maumivu, kundi dogo ndo linafurahia.

Mungu aliruhusu akalie kiti hicho Ili kusaidia wananchi Si kuwazamisha.

Hivyo, Tusimpangie Mungu, akimuondoa na kumuweka mwingine hatuwezi zuia kama ambavyo hatuwezi kumuondoa kama Bado Mungu hajaamua atoke.

Kiti hicho na Mahali hapo ni PATAKATIFU, Si Mahali pa kugawana vyeo na kufurahia maumivu ya Wana wa Mungu.

Ameeen.
 
Mbona hivyo vilio huwa hatuvioni badala yake tunaviona kwa watu wake wale wa siku zote kina nyie?

Watu hawalipi Pesa yeyote kuanzia chekechea Hadi chuo kikuu watalilia Nini?

Watu wananunua mbolea kwa Bei ndogo huku wakiuza Mazao Yao kwa Bei kubwa watalilia Nini hasa?

Watu wanaendela kufungua biashara zoa hawaporwi Pesa,hawauwawi,Wala hawafungi biashara kwa ukata watalilia Nini labda?

Watu wanapata ajira maelfu na maelfu watalilia Nini? Eti vitu vimepanda kwani mapato yameshuka?

Acha upuuzi wewe,subiria kupata majibu 2025,Hakuna anayempangia Mungu bwashee.
 
Lucas mwashambwa

1. Ni kweli kabisa mamlaka ya U - rais aliyonayo Bi. Samia Suluhu Hassan imetoka kwa Mungu na ni yake Mungu...

2. Ni kweli pia, mwanadamu yeyote kwa njia za kubinadamu hawezi kumnyang'anya hiyo mamlaka yake...

3. Lakini ni UKWELI WA KIBIBLIA USIOPINGIKA kuwa Mungu mwenyewe aweza kumshusha na kumwondolea mamlaka yake ya u - Rais wakati wowote akitaka na kukiwa na sababu tena akiwatumia wanadamu hawahawa unaosema hawawezi kumwondoa/kumshusha...!

4. Na sababu zinazoweza kumfanya Mungu aruhusu wanadamu kumwondoa mamlakani Rais Samia ni iwapo atashindwa kutumia mamlaka yake kuhudumia watu wa Mungu kwa kadiri ya mapenzi yake Mungu..

5. Na hii huja iwapo watu WATALALAMIKA NA KUSEMA KWA MUNGU WAO kuwa, huyu uliyempa mamlaka yako ya u - Rais hatutendei haki yako na kwa hiyo mchukue, tupe mtu mwingine...!

It's just simple like that..
 
Vilio vimetanda Nchi nzima watu wanaugulia maumivu, kundi dogo ndo linafurahia.

Mungu aliruhusu akalie kiti hicho Ili kusaidia wananchi Si kuwazamisha.

Hivyo, Tusimpangie Mungu, akimuondoa na kumuweka mwingine hatuwezi zuia kama ambavyo hatuwezi kumuondoa kama Bado Mungu hajaamua atoke.

Kiti hicho na Mahali hapo ni PATAKATIFU, Si Mahali pa kugawana vyeo na kufurahia maumivu ya Wana wa Mungu.

Ameeen.
Ikulu Ni mahali patakatifu na ndio maana tunaona namna ambavyo mh Rais wetu mpendwa mama Samia anavyopaheshimu na kupatumia Kama sehemu ya kuratibia mipango na mikakati ya kuinua maisha ya watu kwa kutatua kero na kutoa majibu kwa maswali ya watanzania wote.
 
Mbona hivyo vilio huwa hatuvioni badala yake tunaviona kwa watu wake wale wa siku zote kina nyie?

Watu hawalipi Pesa yeyote kuanzia chekechea Hadi chuo kikuu watalilia Nini?

Watu wananunua mbolea kwa Bei ndogo huku wakiuza Mazao Yao kwa Bei kubwa watalilia Nini hasa?

Watu wanaendela kufungua biashara zoa hawaporwi Pesa,hawauwawi,Wala hawafungi biashara kwa ukata watalilia Nini labda?

Watu wanapata ajira maelfu na maelfu watalilia Nini? Eti vitu vimepanda kwani mapato yameshuka?

Acha upuuzi wewe,subiria kupata majibu 2025,Hakuna anayempangia Mungu bwashee.
Sijakuelewa,

Unamaanisha hapo Magogogogoni nao wanapitia adhaa ya mgao wa umeme?

Una HAKIKA pia maji hamna hapo ofisi kubwa au wizara ya maji?

Yaani wiki ya pili mjini hamna maji tuambiwe ngombe ndo wameyanywa sio😠😠😠
 
Umeme ni vitu vidogo hivyo mvua zikitengamaa hutosikia Tena
 
Ikulu Ni mahali patakatifu na ndio maana tunaona namna ambavyo mh Rais wetu mpendwa mama Samia anavyopaheshimu na kupatumia Kama sehemu ya kuratibia mipango na mikakati ya kuinua maisha ya watu kwa kutatua kero na kutoa majibu kwa maswali ya watanzania wote.
Naye pia hukaa gizani akisubiri umeme urudi usiku wa mane kama mtaani kwetu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom