Mungu Mkubwa nimeshinda GBP£820,000!!!!!!!

''For security reasons we advice you to keep your winning information confidential from the public until your prize money is remitted to your designated bank account of your choice''.
Hypothetically umeshinda kweli,ulichukua muda kidogo kukipitia hiko kifungu kabla ya kuweka hii post?
 
Mahela mengi hivyo utayafanyia nini?
Labda ongeza mke mpya.
 
mi nakushauri kwanza 2mia hela ikuzoee ndio ufikirie kufanya ki2 cha maendeleo
 
Ni mehela mingi sana hiyo mkuu,it is around 2bln.
Sasa kwa ushauri wangu nenda Kamchomoe Lulu lupanga then kampige"utakavyo"bcoz nasikia kanawapenda wenye mihela.
 
Najiandaa ku-claim hii ngoma

Imekula kwako rafiki! Hii ni scamming made simple. Imejaa sana facebook. Wanigeria hawa.Kitakachofuata watakuambia utume $20 ili kulipia gharama ya ' kuprocess' malipo. Ukituma watakuambia utume $xyz gharama za benk. Ukituma watakuambia utume $klm as transfer cost. Hivyo hivyo watakusumbua mpaka uote kipara, na hakuna hela yoyote utakayoiona! Pole rafiki! Nasema hivyo kwa sababu ylishanipata.

Nilipokea e-mail moja mwaka jana mwezi wa tano nafikiri, ikiniarifu kwamba namba yangu ya airtel imeshinda kwenye ' uk nokia promo.' Nilichofanya, niligoogle 'uk nokia promo' na nilichogundua kilinistua. Watu kutoka nchi mbalombali walikuwa wanalalamika kwamba wamelizwa na hio 'uk nokia promo'. Kuona hivyo, wala sikujibu e-mail zao zilizofuata!
Hebu na wewe jaribu kugoogle hilo jina la mashindano yaani face book award promotional' uone mambo.
 
Mimi namfahamu mheshimiwa mmoja aliye"liwa" kwa ujumbe kama huu. Hatimye alitoa USD 3,000 jamaa wakaingia mitini. Alipokuwa anawaandikia hawampi jibu, ndipo alipoanza kugoogle, akagundua mtandao supposedly fedha zinakotoka, ulikuwa katika lugha ya Kispanish. Alinifuata kutaka kujua kulikoni, jawabu yangu kwake hata kabla ya kumalizia mkasa wenyewe nilimwambia "Mheshimiwa, Wanaigeria wamekuzidi akili".
 
Back
Top Bottom