Choka mbaya, Mungu hamfichi mnafiki

Choka mbaya, Mungu hamfichi mnafiki

Attachments

  • 20260711_201740.jpg
    20260711_201740.jpg
    39.3 KB · Views: 3
Baada ya kuonekana ana busara na kuanza kuzungumzwa kama mmoja ya watu wenye sifa ya kuongoza nchi siku za usoni, wahuni wakaamua apewe wizara yenye makando kando mengi ili kumharibia kabisa CV yake. Na kwenye hili kwa kweli wamefanikiwa.
 
Back
Top Bottom