Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

alikuwa anakunywa beer wakati anaandika......anyway namsubiri kakake GT anijibu......

au inawezekana viswali vyako ni softballs na wameamua kutokusumbuka kuvijibu.....thought about that?
 
It is evident that I don't believe, what did you want to shoulder them with?
 
Wakati mataifa mengi yanatunga nyimbo zake za taifa ucha Mungu ulikuwa mwingi. Wimbi la ma- atheist tulionalo sasa hivi halikuwepo kwa wingi huo wakati huo. Mithili ya makubaliko ya ushoga kwenye baadhi za jamii na dini ilivyokuwa zamani ukilinganisha na ilivyo sasa.

U-conservative uliogubika jamii mbalimbali hapo awali unayoyoma polepole kutokana na mazingira ya leo kiujumla. Utandawazi, technolojia, idadi ya watu n.k. Maadili, dini, siasa ni vibeba mzigo vikuu wa uyoyomaji huo.

Sasa, pamoja na kuwa unakataa kuiongelea hoja niliyotaka kuiibua hapo awali, bado; maelezo na hoja vimetindia palepale. Yakwamba, nadhani ni asilimia chache sana ya mataifa ambayo hayakuhusisha Imani/Mungu kwa namna moja au nyingine katika nyimbo zake za taifa. Isitoshe, kama kuhusisha huko lilikuwa jambo makini au hapana; bado, mataifa mengi hayajasumbuliwa au kuathirika sana na uhusisaji huo mpaka hii leo.

Kule Uingereza, pale watakapopata mfalme sijui nao watabidi wabadilishe wimbo wao ili umhusishe? Marekani vivyo hivyo, ma-atheist wanakuja juu kuomba wimbo ubadilishwe na kutohusisha Mungu. Naamini nchi nyingi pia zillizohusisha dini katika nyimbo zake zinazidi kuchimbiwa mkwara na wimbi hili la ma-atheist linalozidi kujitokeza kila pande ya dunia.

GT, sina uhakika, ila nafikiri na napenda kuamini kabisa kuwa, kuingizwa kwa dini/imani/Mungu katika nyimbo hizi hakujaleta negative impact yoyote ile. Kikubwa nikionacho katika mujumuisho huo ni kule kuwezeshwa kwa imani kwamba, kuna mema yawezekanayo ndani ya taifa pale mtu anapoimba kwa hiari na moyo mkunjufu nyimbo ya taifa lake. Nyimbo za taifa zimefanisiwa na kufanisika kifasaha na nia yake kuu nijuayo mimi through observation ni kule kuleta mshikamano. Angalia magwaride ya kumuenzi mtu/watu fulani hivi... kwenye michezo, vita na majonzi. Ndipo hapo haswa unapoweza kutambua the power of the National anthem.

Ni mshikamano huo huo ulioletea mataifa yaliyoendelea na yanayoendelea mabadiliko katika jamii, siasa na dini kama tuonavyo hivi sasa. Si hivyo tu, bali umewezesha hata wasiona dini kuweza kuchallenge hiyo hiyo dini iliyokuwa imewagandamiza hapo mwanzo. Na ndipo hapo mtu waweza kukubali kuwa, kushirikishwa kwa Mungu katika nyimbo hizo si chochote bali ni kule kuleta mshikamano. Maana watunzi wanyimbo hizo wakati huo wanatungwa ndivyo walivyoamini na ndimo kwenye mazingara waliyokuwemo. U-bias katika nyimbo hizo dhidi ya ma-atheist wakati zinatungwa haukuwepo wala haukufikirika kwa wengi.

Sasa ndipo hapo tutakapojiuliza, je tuwe tunabadili nyimbo za taifa kufata mawimbi ya makundi mbalimbali yanayojitokeza kwa sababu mbalimbali na nyakati tofauti tofauti katika uhai wa Taifa?

SteveD.

SteveD,

Utagundua kuwa Mungu katika mantiki hii ni generic, hana dini bali ni nguvu inayoaminiwa na wanadamu takriban asilimia 99 kuwepo kwa nguvu na Uungu!

Shida ingekuwa kama tungesema Yesu, Muhamadi, Budha au kingine na si Mungu.

Lakini hata akatika wapagani, nao si wanaabudu nguvu za namna fulani katika uumbaji wa Dunia? Ikiwa kule kwetu Mwibara Mungu wetu ni ule Mbuyu mkubwa, tukiimba Mungu Ibariki Tanzania si basi kila mtu anawakilishwa, wa Yesu, Muhamadi, Mbuyu, Mwamba na Mlima?
 
SteveD,

Utagundua kuwa Mungu katika mantiki hii ni generic, hana dini bali ni nguvu inayoaminiwa na wanadamu takriban asilimia 99 kuwepo kwa nguvu na Uungu!

Shida ingekuwa kama tungesema Yesu, Muhamadi, Budha au kingine na si Mungu.

Lakini hata akatika wapagani, nao si wanaabudu nguvu za namna fulani katika uumbaji wa Dunia? Ikiwa kule kwetu Mwibara Mungu wetu ni ule Mbuyu mkubwa, tukiimba Mungu Ibariki Tanzania si basi kila mtu anawakilishwa, wa Yesu, Muhamadi, Mbuyu, Mwamba na Mlima?

Rev,

What about the people like me, who do not believe in any supernatural force? And as a result do not believe in kuomba "Mungu Ibariki Afrika"?


There is a large population of rational thinkers who discard not only the god idea, but everything that is purpoted to rise from supernatural forces, what can you tell us in this context?
 
Rev,

What about the people like me, who do not believe in any supernatural force? And as a result do not believe in kuomba "Mungu Ibariki Afrika"?


There is a large population of rational thinkers who discard not only the god idea, but everything that is purpoted to rise from supernatural forces, what can you tell us in this context?


na watu kama wewe bado wangependa kuimba huo wimbo ila wanapata tatizo na sehemu ya "Mungu Ibariki/Wabariki" au wana tatizo ni wimbo mzima?
 
Rev,

What about the people like me, who do not believe in any supernatural force? And as a result do not believe in kuomba "Mungu Ibariki Afrika"?


There is a large population of rational thinkers who discard not only the god idea, but everything that is purpoted to rise from supernatural forces, what can you tell us in this context?

So you believe in Bigb Bang theory sio? then that is your Mungu of some sort! The supernatural force lets call it Mungu maana it is so supernatural, undefined and unknown except through myth and belief!

Hata lile li-compactor walilolijenga EU could be a mungu of some sort of those who do not believe in Jah, Allah, Yahweh, Mungu, Kichuguu, Mbuyu au Anaconda!
 
Tunasema Tanzania haina dini, hatusemi Tanzania haina Mungu. Serikali ya Tanzania si ya dini, lakini Watanzania, karibu wote, wana dini. Wimbo wa taifa ni wimbo wa Watanzania. Si wa serikali. Serikali inabadilika lakini wimbo haubadiliki kwani si wa serikali, ni wa Taifa. Taifa la Tanzania linamtegemea Mungu, na linamwomba kila siku linapoimba wimbo wake wa Taifa.

Pundit; there is no contradiction between faith and reason. My reasoning helps me to strengthen my faith, for my faith is a reasonable one.

There is knowledge that is supernatural. Only faith makes it accessible. Thus, my faith deepens my knowledge. And with this deeper knowledge, I am better able to reason. I know what I believe.

It is wonderful that our national anthem is prayerful. It is based on the shared aspirations of the majority of Tanzanians. The fringe minority that cannot tolerate God has no right to impose their intolerance on us.
 
Jah Bless Afrika!
Anyways...Mwalimu nadhani aliwahi kusema ni heri uamini Mungu yupo halafu ukifa ukaenda kukuta hayupo basi powa tu.
Ila ukisema hayupo halafu ufe uende kukuta yupo(kama unaamini in life after death)Then noma.
 


Kwa Ma-earthist wote na Wapenzi wa Dunia,

PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXIST?



They can't. All of them here are empty headed. Siumeona wamekukimbia, hawana jeuri ya ku=prove that God does not exist.

Hakuna hata mmoja jukwaani hapa atakaye prove that there is no GOD. Hawa wajamaa wote ni wafuata mkumbo.

 

Matusi na kejeli zako hazina maana zaidi ya kuonyesha kuwa una upungufu wa kufikiria kama Marehemu Muhammad.

Your logic is defacto ad infinitum, inter-alia, lacks religious merits, and is unethical.

Wherefore, your reply and thread is still argumentum ad ignorantium and you are ipso facto. Furthermore, your argument is debunked with prejudice.



Haah haha haha aha. Hapa mtu lazima akimbie. Let them prove that there is no GOD.

All they can do is blahing blahing.

Max weye mbaya sana weye. Unaona GT amekimbia sasa.

 
It is illogical to ask atheists to prove that God does not exist.
You cannot argue that "God exists because there is no proof of His non-existence" We do not at the moment have proof that aliens from outer space do not exist, but you may not conclude from that "therefore they exist".
 
It is a Law of Logic that you cannot prove a negative. So, it is illogical to ask for a proof that God does not exist. There are perfectly logical ways to confront the irrationality of non believers. Let us use those.


Define to me the law of logic. I want a proof from ALL Atheists that GOD DOES NOT EXIST.

ATHEIST DON'T BELIEVE IN GOD, THEN FOWARD TO ME WRITTEN EXIBITS TO SUPPORT YOUR BOGUS CLAIM THAT GOD DOES NOT EXIST. STOP BLAH BLAH, I NEED EXIBITS FROM YOU ATHEISTS THAT GOD DOES NOT EXIST.

You Athiests are the ones who don't belive in GOD, then prove it to me. I NEED ALL ATHIESTS TO PROVE TO ME THAT GOD DOES NOT EXISTS.
 
Last edited:

To ALL ETHIESTS IN THE WORLD, AND ALL THE PEOPLE WHO DON'T BELIEVE IN GOD.

I NEED A PROOF FROM YOU GUYS THAT GOD DOES NOT EXISTS. I WANT A WATERTIGHT LOGICAL PROOF OF NONE-EXISTENCE OF GOD.

 
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.

Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa?

Najua kama watanzania wanayohaki ya kuwa na dini wanazotaka lakini hamuoni kama hii ni hatari kwa wale wasiamini Mungu?

Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei

Nadhani its time tukabadili nyimbo ya taifa halafu hawa ma religious nutjobs wakikataaa tukaburuzane mahakamani

Sometimes we have to stand up for something badala ya kufuata mkumbo

Its really sad wanavyowadoctrinate watoto wadogo mashuleni kuwafanya waamini kitu ambacho no one has ever proved that it exist

nawasilisha hoja and yes i dare be different kwenye hili unless kuna mtu anahoja ya kuniconvince otherwise

Nchi yetu haina dini maana yake ni kwamba 'is not affiliated to or associated with a particular religious institution [religion]' - lakini sidhani kama ina maana ya 'atheism' yaani kutoamini katika Mungu.

Na hii iliwekwa makusudi kwani ingeleta matatizo katika waumini wanaoamini katika imani mbalimbali. Mfano, ukisema ni nchi ya Kiislamu, madhebu mengine yataonekana kama yanatengwa, nk.

Lakini kusema 'Mungu ibariki Tanzania' sidhani kama italeta matatizo yoyote katika wanajamii wa Kitanzania.
 
It is illogical to ask atheists to prove that God does not exist.
You cannot argue that “God exists because there is no proof of His non-existence” We do not at the moment have proof that aliens from outer space do not exist, but you may not conclude from that “therefore they exist”.

Pointless..
 
GT naomba kukuuliza tu MUNGU ni yupi unayemsemea hapa? Taifa kama taifa naamini halijamtaja Mungu wa wakatoliki, wa waislamu, wa baniani na wengi tu wanaoaminiwa na waumini wa dini husika. Nyimbo wa Taifa linalomtaja Mungu umekuwa generalized bila kutaja ni mungu yupi hasa anayelengwa. Sitaki kuamini kuwa hakuna mtu yeyote ambaye hana imani yake. Imani inayomfanya mtu huyu aiamini katika imani fulani ndiko kwenye Mungu wake!
GT una imani yako,,, je katika upembuzi wako umepata kusikia nyimbo yoyote ya taifa fulani ikitaja Mungu wa imani fulani?
Hata matambiko yalifanywa kwa walioamini matambiko haya na ndiko mungu wao alikokuwa kama walivyoamini.
Ungesema baadhi ya shule ziache kulazimisha watoto kufuata matakwa ya shule fulani fulani kwa sababu ya umiliki wake hapo tungekuelewa.

Wimbo wa Taifa umetoka kwenye kitabu kinachoitwa "sala ndogo za kanisa" kitabu cha kikatoliki kwenye ukurasa wake wa 22 na ndio kitabu kilichotoa sala ya bunge. Sasa hapo haihitaji degree kujua Mungu alyetajwa kwenye wimbo wa Taifa ni wakiislamu au kikristo!
 
Back
Top Bottom