Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

Invisible, lete hii kwenye upande wa dini tuishughulikie.

Kwataarifa yako, Mungu yupo na hana dini.

Hii inahusiana na sana na SIASA lakini kwa sababu mawa ma RELIGIOUS FANATICS/nut jobs wameshindwa kujibu hoja zetu wamelobby ihamishwe kwa sababu eti tunatia watu sumu!

hii thread tuko 2 tuu mimi na Pundit na hawa jamaa pamoja na mamluki wao hakuna hata mmoja aliyeweza kujibu hoja zetu straight and have demonstrated an ability to think for theirselves.

but what you guys have done is nothing but ability to mindlessly follow a herd.

one would have thought kuwepo kwenu JF mngeweza kupanua mawazo yenu lakini wapi!
 
mrbhjd.gif
----------------

​
 
Bw. Pundit,

Nadhani nina muda mchache wa kuzungumzia hoja zako hivyo sitaenda neno kwa neno. Mchango wangu ni kama ifuatavyo:

1. Nakubaliana nawe kuwa suala la kumtaja M/Mungu kwenye wimbo wa taifa ni secondary, la kwanza linalotakwa ni uwepo wa M/Mungu. Hoja yangu nasisitiza hapa kama nilivyosema awali, ili mja aweze kudispute sifa za M/Mungu inabidi kwenye kuwepo na makubaliano kwamba yupo. Hapo ndipo tunaweza kuongelea habari ya omnipotent, all knower, all knowledgeable VS huma freewill. Bila ya kuwa na platform hii, hakuwezi kuwa na muafaka kwani atakayekuwa ana-dispute uweza wa M/Mungu atatumia hoja za uwepo wa M/Mungu, na hapo zoezi litaendelea on-and-on.

2. Pia umetaja kuwa M/Mungu anafeli simple Eucledian Geometry seuze logical test (allegation). Sidhani kama nna msaada mkubwa sana kwako ktk hili. Maana nilishatahadharisha toka posting yangu ya awali kuwa kama unataka kumscrutinize M/Mungu you should be at least in same level as Him. Hapo umejaribu kulinganisha na complex physical phenomenon, I think the two are queit different. Na pia umesema kuwa God's complexity does n't exclude Him from scrutiny, I guess you are right, but kama nilivyosema, provided God exists it is logical to say hakuna bin'adamu mwenye total capacity na tools za kum-scrutinize Muumba wake na kufanya any meaningful probe, hivyo his effort will lead into futility.

Kwa kuongezea, kuhusiana na logic unayodhani ni kila kitu..Chukua mfano wa argument hii.

i. A is less than B,
ii. B is less than C ,
iii. then A should be less than C

This argument is completely logical when looked at its nature. But this logical argument is NOT necessarily true..and it is even fallacious at some conditions. Thats means sometimes you may find illogical arguments to be true too.

Therefore applying uncertain convention of 'human logic' to test Almighty is basically laughable and faulty. The idea of applying 'test' to God is very loose to me. Our Creator deserves better than that because he deserves it.

God is my shepherd,

Abdulhaleem al Masih

The good thing about us is we are more 'skeptical'. With higher intelligence more often then not comes a natural urge to ask questions, to not simply accept the things as they are but to want to understand it. This often (and especially in church dominated times) leads to clashes with the religious establishment.

Kama umechunguza kwa makini utaona naturally inquisitive and skeptical people have a strong tendency to turn their backs to people who tell them to think as they are told and just accept without question (which is what a large part of religion is about unfortunately). It does not mean that these people are actively atheists, just that they don't take the teachings of churches for granted.

In other words: a priest claims something, he better backs it up.

In past times the search for answers on both scientific and religious questions more often then not took the same form. In modern days, these have become more separated and largely because of various churches refusing to accept the most well proven facts (in the past for instance the fact that the earth revolves around the sun, in modern days things like the age of the planet).

When religious people deny such things without even the slightest form of evidence other then a single source that has been orally copied hundreds of times before being written down and copied and translated countless times, these skeptical people turn away from those religious mainstreams.

So: are they religious? probably not, at least not active; do they believe in God? well, most honestly do not know, a few do not and many do. Basically just like the ordinary person.

The big difference is that they chose not to take their doubts to church and simply ignore the question since there is no definite answer and history told them to be wary of religion anyway (in past times, doctors got burned for claiming the blood flows).

Not to mention that it seems an acceptable means to convince people of 'your' religion by threatening, either by force or eternal damnation. Since various religions all claim that they are the only once being right, it still comes down to the individual chose and many of the so called intellectual elite just have not chosen who to believe and most are not easily persuaded to change their ideas because of a threat (in any form).

If religious people want to make believers out of those intellectuals they have beat them with agreements and by far most religious people don't have the ability and/or the patience to even try. In such situations these people tend to oppose whatever is threatening them and in the case of religion that attitude results in a form of atheism.

This however does not mean that more intelligent people are active atheists but much more that they have proposed the question and simply don't think about the existence of God. So with people who consider themselves atheists you need to ask the question of what they mean by that. There is a big difference between denying the existence of God and simply not assuming that God exists.

It is, in other words, not actual intelligence but more a natural urge to keep asking questions and remain skeptical and inquisitive. Those traits however do occur more in people as they are more intelligent.
 
Why so bitter?
If one asks on the relevance of your previous post to the matter at hand,I can bet you'll say it was a response to what I had written earlier.Now,why should my response to Eeka's post be such a faux pas?
And just so you know,I don't need to PM my views...defeats the purpose of the forum.

you sound like a primary school prima Donna
 
I don't see how this is related to what we're discussing here..

Nilishakujibu kuwa these two events are independent, and they can go in-parallel without conflicting each other na pia God's perfect knowledge includes human freewill. Lete hoja nyingine.

Like you have verified, umesema huhitaji msaada wa aina yeyote kutoka kwangu, this means also hutakaa ueleweshwe wala kujuzwa kwa sababu uanajua kila kitu..thats good i guess, from an arrogant point of view.

hata hivo umeshindwa kuepa mtego mdogo uliojiwekea wewe mwenyewe kuwa argument yako moja inadepend uwepo wa M/Mungu..hivyo His Perfect Knowledge..

Karibu

Mjomba, its this simple: anyone with an IQ of 136 and believes the bible to be 100% true is certainly in the 3.3% this article refers to and also clearly dumb(sorry to be rude but 100%?).

there are so many logical fallacies in the bible let alone all the scientific fact that refutes remedial claims, let alone ones about virgin births and cosmic jewish zombies rising from the dead. do you also support stoning to death disobedient children and capital punishment for adulterers as Leviticus recommends?

that would be part of the 100%
 
Hii inahusiana na sana na SIASA lakini kwa sababu mawa ma RELIGIOUS FANATICS/nut jobs wameshindwa kujibu hoja zetu wamelobby ihamishwe kwa sababu eti tunatia watu sumu!

hii thread tuko 2 tuu mimi na Pundit na hawa jamaa pamoja na mamluki wao hakuna hata mmoja aliyeweza kujibu hoja zetu straight and have demonstrated an ability to think for theirselves.

but what you guys have done is nothing but ability to mindlessly follow a herd.

one would have thought kuwepo kwenu JF mngeweza kupanua mawazo yenu lakini wapi!

Your retort and language shows that "GOD EXISTS".

Go back to your question, "MUNGU KWENYE NYIMBO YA TAIFA WHY?" I thought you wanted to know WHY there is a WORD 'MUNGU' kwenye wimbo wa Taifa?

I can see that you are petrified and terrified by the word "MUNGU".

Your frustrations, exasperations and turkey to know what you want, is more than a proof that GOD EXISTS, and the word MUNGU is not there by mistake kwenye nyimbo yenu ya taifa.

Do you still want to know why there is a word MUNGU kwenye nyimbo ya Taifa lenu?

Big Foot exists.....do you dispute that?

Khekhekheeeeee.....Nyani Mac si chochote? Come on dude......

Wuuuuuuusaaaaaaaaa....wuuuuuusaaaaaa......

here are two ways to become a non-believer in God.

One is to never have been indoctrinated. This is what is now seen in most of Europe and some other advanced nations (USA notwithstanding), where a whole generation is growing without the fear of God that so many of us remember from childhood.

The other way to become an atheist is through critical thinking. Even if one is subjected to religious indoctrination from early childhood, it is still possible for that person to grow out of it through rigorous observation, critical thinking and independent reasoning - something that we as a society value in all other areas of life with the exception of religious faith.

So is it really a surprise that people with higher IQs tend to believe in God in drastically smaller numbers - no. These are precisely the same people who are capable of exercising critical thinking for the most important question of all - what is the world really all about.

For those of you out there who haven't put religious teachings on a rigorous test of logic - try it. It is the most refreshing experience you'll ever embark on.
 
Your retort and language shows that "GOD EXISTS".

Go back to your question, "MUNGU KWENYE NYIMBO YA TAIFA WHY?" I thought you wanted to know WHY there is a WORD 'MUNGU' kwenye wimbo wa Taifa?

I can see that you are petrified and terrified by the word "MUNGU".

Your frustrations, exasperations and turkey to know what you want, is more than a proof that GOD EXISTS, and the word MUNGU is not there by mistake kwenye nyimbo yenu ya taifa.

Do you still want to know why there is a word MUNGU kwenye nyimbo ya Taifa lenu?

no. you can't prove what's not real.
 
swali mnalolikwepa ni kwanini Watanzania waruhusiwe kuwa na dini wakati dini ni kitu kinachozua maendeleo kwa kiasi kikubwa? Badala ya kuulalamikia wimbo wa Taifa la msingi ni kwenda Chinese way, futeni dini, na kama kuna watu wanataka "kuabudu" basi waabudu katika misikiti na makanisa yenye kusimamiwa na serikali na vitabu vyao (Biblia na Qurani n.k) vipitiwe kwanza kuona kama kuna jambo lolote linalohatarisha usalama wa Taifa.

Tukishafuta dini kwenye mawazo ya watu na maisha yao ndipo hapo tutaweza kuondoa vitu kama "Mungu" kwenye wimbo wa Taifa n.k Sasa as long as watu wanaamini Mungu na wao wameamua na kukubali kuwa neno Mungu litumike kwenye wimbo wao wa Taifa ni juhudi ya bure kuulalamikia kwani wimbo huo unaakisi tu matamanio na hisia za watu.

Kama tatizo ni kuwataka watoto wauuimbe n.k hiyo ni hoja nyingine kwani kwanini watoto wasiotaka kuimba wasikilizwe na wale wanaotaka waimbe wasisikilizwe? Kama kuna atheist hataki kuimba si asiimbe na wala asiadhibiwe lakini kwanini tumzuie mwenye imani ya Mungu kuuimba wimbo huo?

Kama watu hawataki kumtaja Mungu isiishie kwenye wimbo wa Taifa bali iende hadi kwenye kiini chake nacho ni uwepo katika jamii wachungaji, mashehe, wainjilisti n.k ambao wanafundisha watu mambo ya dini. Muwafungie hawa kwanza, fungeni misikiti na makanisa n.k ili twende real secular. CHukueni Biblia, Qurani na vitabu vingine vyenye dodoso ya kidini vitieni moto, na wanaokaidi watieni pingu hadi muhakikishe kuwa Tanzania is a true secular state.

Otherwise, hoja nzima is totally absurd, it is based on a flawed proposition and it emerges from an obvious and clear fountain of intellectual arrogance of the first kind.

I'm afraid I was unable to get past your fifth paragraph without deciding that you either hadn't got a clue what you were talking about, or you were deliberately spouting falsehoods (a problem of distinction I find with the vast majority of religious apologists - even the relatively intelligent ones).
 
sasa ngoja nikalale

nitakapo amka najua hawa na NUTJOBS watakuwa washaflood hii threads na innuendos zao nami nitawajibu vilivyo

one this is for sure, utaona kuwa kwenye hii thread tumeweza kuonyesha kuwa Athiests more intelligent than believers
 
here are two ways to become a non-believer in God.

One is to never have been indoctrinated. This is what is now seen in most of Europe and some other advanced nations (USA notwithstanding), where a whole generation is growing without the fear of God that so many of us remember from childhood.

The other way to become an atheist is through critical thinking. Even if one is subjected to religious indoctrination from early childhood, it is still possible for that person to grow out of it through rigorous observation, critical thinking and independent reasoning - something that we as a society value in all other areas of life with the exception of religious faith.

So is it really a surprise that people with higher IQs tend to believe in God in drastically smaller numbers - no. These are precisely the same people who are capable of exercising critical thinking for the most important question of all - what is the world really all about.

For those of you out there who haven't put religious teachings on a rigorous test of logic - try it. It is the most refreshing experience you'll ever embark on.

These few paragraphs gonna haunt you!!
 
Mjomba, its this simple: anyone with an IQ of 136 and believes the bible to be 100% true is certainly in the 3.3% this article refers to and also clearly dumb(sorry to be rude but 100%?).

there are so many logical fallacies in the bible let alone all the scientific fact that refutes remedial claims, let alone ones about virgin births and cosmic jewish zombies rising from the dead. do you also support stoning to death disobedient children and capital punishment for adulterers as Leviticus recommends?

that would be part of the 100%

Matusi na kejeli zako hazina maana zaidi ya kuonyesha kuwa una upungufu wa kufikiria kama Marehemu Muhammad.

Your logic is defacto ad infinitum, inter-alia, lacks religious merits, and is unethical.

Wherefore, your reply and thread is still argumentum ad ignorantium and you are ipso facto. Furthermore, your argument is debunked with prejudice.

Last edited:
sasa ngoja nikalale

nitakapo amka najua hawa na NUTJOBS watakuwa washaflood hii threads na innuendos zao nami nitawajibu vilivyo

one this is for sure, utaona kuwa kwenye hii thread tumeweza kuonyesha kuwa Athiests more intelligent than believers

Bogus argument. Argumentum ad ignorantium.

NAONA JAMAA ANAKIMBIA
 
relax Bible is just a story thats why utaona ipo ya Kijaluo, kuhindi, Kinge James version na kadhalika

BTW

Please provide some contemporary evidence that Jesus of Nazareth existed.
Hujajibu swali langu GT.........JE UNAAMINI KUWA MUNGU YUPO?
 
....stupid bush na evangelicos naona wanataka kuturudisha dark ages na sitashangaa the downfall and destruction of America itatokea kwa hawa mafanatic xtian talaban...dini sucks!
 
Hujajibu swali langu GT.........JE UNAAMINI KUWA MUNGU YUPO?

.....hivi kuna mtu amewahi kumuona mungu katika history? hata stupid bush alituambia alianza vita baada ya kumuomba mungu kuwamaliza Baghdad na kuiba mafuta yao kwa jina la WMD!
 
Koba;308038[COLOR="Red" said:
]....stupid bush na evangelicos [/COLOR]naona wanataka kuturudisha dark ages na sitashangaa the downfall and destruction of America itatokea kwa hawa mafanatic xtian talaban...dini sucks!

Blah blah blah blah. Punguza jazba bana.

Back
Top Bottom