Aisy
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 508
- 1,139
🤣🤣🤣Na wafungwee tuu, hamna namna.
Yaani njia ya bashite nataka ijae miiba na utelezi tuu.
🤣🤣🤣Na wafungwee tuu, hamna namna.
Yaani njia ya bashite nataka ijae miiba na utelezi tuu.
Hiyo ni kama maji kupanda Mlima Mlima kilimanjaroIkitokea CCM Stars wanaifunga Algeria itakuwa miracle na ajabu la dunia.
hahaha aiseesio Algeria tena dhidi ya kikundi cha ccm ni mkong'oto tuuu watarudi na vyupi mikononi
Ile ni zehro not zerohahaha aisee
Fedheha sana.
Bashite alijichanganya sana ile kweli ni Zero
Mchukieni Mako...msiichukie Taifa Stars ... don't mix up things...anawanunulia viatu na kuwasainia utadhani yeye ni Denzel washington na wendawazimu wakiongozwa na mbwana samatta wanachekacheka kama wagonjwa wa akili vilevile bado yupo huko maana kiwango cha aishi manula kinazidi kumkuna anaweza akamuongezea milion 10 nyingine you never know.
Kama wale vijana wangemkataa bashite tungeisaportMchukieni Mako...msiichukie Taifa Stars ... don't mix up things...
Naunga mkono hoja!! wapigwe tu hao wawakilishi wa ccminafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile algeria na kenya kutumia yanayoendelea huko misri kuleta umoja wa kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana ccm tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya CCM ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu
kesho CCM hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka algeria,mara ya mwisho CCM hao wa lumumba walipigwa 7-0
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.Amen.
Dua lako haliwezekaniNaona kuna tatizo mahali flan. Iweje ameenda kiongozi kwenda kuwatia moyo nyiye mnaichukia timu yetu?? Mbona walienda wabunge wa vyama mbalimbali hamkuwazomea??
Jamani, tuache chuki binafsi tujiunge kwa pamoja kuiombe dua njema Taifa Stars yetu. Hivi tuseme; Kama mchawi wetu alifanya vyema halafu ghafla mkasikia kuwa Mbweha wa jangwa wameuogopa mwanga wa Nyota yetu halafu wakachapwa 1 - 0 tu mtalala wapi nyiye wenye roho ya korosho??
Nawaombea Taifa Stars nyota iwake wawalambe 1 - 0 hao mafisi wa jangwani. Sina chama ila ushindi wa Stars ni wetu sote ila kama ni kweli, warudishiwe ile chenji yao waliyoibiwa
Hivi una akili ?Lissu ndo kasababisha stars ishindwe.
Hiyo ndo adui muombee njaaNa wafungwee tuu, hamna namna.
Yaani njia ya bashite nataka ijae miiba na utelezi tuu.
Duuu ama kweli usipofurahi jf sijui utafurahi wapi kwahyo amegeuka Mess DABHapana yupo anasaini viatu vya wachezaji utadhani yeye messi au ronaldo kakutana na fans wake![]()