Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,640
- 9,263
Kama walishindwa kuifunga Kenya. Hapo sahau maana Senegal mwenyewe ameshindwa kuifunga itakuwa kwa hawa timu Jecha? Mpira na siasa ni kama mafuta na maji.Ikitokea CCM Stars wanaifunga Algeria itakuwa miracle na ajabu la dunia.
Unaukumbuka huu uzi? Mungu sikia maombi yetu: Kama Taifa stars ni Mali ya CCM basi tuomba utende mema kwa HARAMBEE STARS kwa maana ushindi wa CCM ni mwizi kwenye KURA
Kama yalitimia CCM haina baraka za Mungu. Kenya wametoka nyuma, mpaka imefikisha magoli 3-2.