ruby garnet
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 2,922
- 3,912
Mimi nitakuwa campany manager wala usihofuNataka company ya kutaka ccm fc itandikwe magoli.
Ile siku Mimi nilikuwa mpinzani peke yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nitakuwa campany manager wala usihofuNataka company ya kutaka ccm fc itandikwe magoli.
Ile siku Mimi nilikuwa mpinzani peke yangu[emoji23][emoji23][emoji23]
miss youUnatafutwa[emoji41]
[emoji3][emoji3]haya bana,umejua kunisusamiss you
Sio kwa kujificha uko kisura;
Ndio kakupa ruhusa jioni hii.
haha hanitendei aki; mfikishie salamu zangu
we inakuhusu nini pepa zangu?Madenti bwana...si utakuwa kwa pepa ww
Ntaanzaje anzaje Mimi![emoji3][emoji3]haya bana,umejua kunisusa
Tufungwe magoli mengi
Kadri ya uwezo wao
Watajiaibisha sana algeria , wakifungwa na haws taifa staa sio stars
Nmekwepo kwepo tu nilikua nasubiri mualiko wako nkaona umeuchuna..roho ikaniuma tu kidogo[emoji12]Ntaanzaje anzaje Mimi!
Ulienda wapi lakini hii weekend
hahaha lakini Jana nimekutafuta sana ujueNmekwepo kwepo tu nilikua nasubiri mualiko wako nkaona umeuchuna..roho ikaniuma tu kidogo[emoji12]
Mmmmh umenitafutia wapi?[emoji848]hahaha lakini Jana nimekutafuta sana ujue
haha huniamini;Mmmmh umenitafutia wapi?[emoji848]
Hahahaha ninyi watu mna maneno[emoji2][emoji2][emoji16][emoji16]anawanunulia viatu na kuwasainia utadhani yeye ni Denzel washington na wendawazimu wakiongozwa na mbwana samatta wanachekacheka kama wagonjwa wa akili vilevile bado yupo huko maana kiwango cha aishi manula kinazidi kumkuna anaweza akamuongezea milion 10 nyingine you never know.
Acha hizoo[emoji3][emoji3]haha huniamini;
mpaka usingizi ukawa watabu
Lord have mercyAcha hizoo[emoji3][emoji3]
Hivi kesho ndo Tz na Algeria eeh?!usiniite kesho ntakua misri likizo naenda angalizia mechi huko huko..ukinimiss si unajua pa kunipata ee? Skype
Ccm watakojolewa bao sio chini ya 4 watarudi na mimba tayari kujifungua watoto machotara mapachainafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile algeria na kenya kutumia yanayoendelea huko misri kuleta umoja wa kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana ccm tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya wendawazimu ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu
kesho wendawazimu hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka algeria,mara ya mwisho wendawazimu hao wa lumumba walipigwa 7-0
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.Amen.
K kweli wwinafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile algeria na kenya kutumia yanayoendelea huko misri kuleta umoja wa kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana ccm tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya wendawazimu ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu
kesho wendawazimu hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka algeria,mara ya mwisho wendawazimu hao wa lumumba walipigwa 7-0
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.Amen.
[emoji23][emoji23][emoji23] sio Algeria tena dhidi ya kikundi cha ccm ni mkong'oto tuuu watarudi na vyupi mikononiya mungu mengi mtarajiwa;
Vijana wamenunuliwa njumu za adidas, kesho watakichafua kweli kweli