Ok, nitakuwa active kukupa company. Ngoja niangalie harusi ya MC pili pili hapaKosa lako ni kufuatilia kimya kimya.
Ningekuwa na uwezo ningemfuata ni mlambe makofi. Eti Michambo![]()



Amen. Tutakuwa tumeiwakilisha ccm vizuri namna wanavyoshindaga uchaguzi.aNaombea tufungwe zaidi ya 4
Na mimi mke wako nipate udiwani viti maalumNtakuwa mkolomije labda naweza kuambulia ukuu wa wilaya
Mkewe an kazi jaman..Tumbo la.mamake.bashite nadhan lina laan


kwanini kwani na ndugu zake nao wako ivo?Staki nshakuambiaKwa hiyo hutaki kumtambua?
Nimetengua kauli yangu mtarajiwa.Kumbe Daudi brother ako?
Kwa hiyo anaelekea kuwa shemeji yangu
ndioKwamba wapinzani hawakuomba![]()
Yule ni mwana mkaidi. Ngoja tuone.Anawatafutia come back
Hahahaha si unajua daud alivyo mbishi
Ewaaaa.... maana uwaziri inaweza kuwa tabu. Naweza pewa ubalozi nawe ukahamia mjengoni ukawa Angel wa mzee babaNa mimi mke wako nipate udiwani viti maalum
Ameeninafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile algeria na kenya kutumia yanayoendelea huko misri kuleta umoja wa kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana ccm tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya wendawazimu ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu
kesho wendawazimu hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka algeria,mara ya mwisho wendawazimu hao wa lumumba walipigwa 7-0
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.Amen.
Shauri yako... Siku hizi matabia mbaya yamejaaAmen mkuu
Mungu atasaidia kipigo cha mbwa koko kwa wanaCCM
Sanchez magoli kesho CCM mkishinda nikupe nini?
Tatizo wanaccm wanashindwa kujua mipaka ya siasa. Wao kila kitu ni siasa. Wampeleke Jecha akafanye mambo. Taifa Stars itashinda kama vile CCM inavyoshinda kwenye chaguzi.
Wao walidhani mpira ni siasa. Nitaishabikia Taifa Stars ile isiyokuwa na chama yaani ya watu wote. Hii naichukulia kama CCM Stars.
Tatizo lake akubaligi ashindweYule ni mwana mkaidi. Ngoja tuone.
Tumwache apumzike bhana. Kule fisiemu hawajaenda na polisi... hakuna goli la mkonoBabukwahiyo tuaimsumbue Mungu.
Sijui yanalazimishwa kuongea.Hata samatta na msuva nao ni wajinga wanasema eti wanawakilisha serikali ya awamu ya tank na ilani ya sisiemu sasa sijui watz wote tupo gambaz ama LA..
😂😂😂😂Ewaaaa.... maana uwaziri inaweza kuwa tabu. Naweza pewa ubalozi nawe ukahamia mjengoni ukawa Angel wa mzee baba
Yaan nahesab sik huku mm..nimejichokea balaa...hope 10th ntapita hapo aisee .nile bata kidg niendelee na safarhahah hutaki kunipa assist?
siku ukija idodomiya fanya nijue ndg mwananchi mkereketwa
Mzee anapenda wasomi hata yule mheshimiwa wa Kisarawe ameenda shule. Niandikishe kwa Ras Simba hubbyEwaaaa.... maana uwaziri inaweza kuwa tabu. Naweza pewa ubalozi nawe ukahamia mjengoni ukawa Angel wa mzee baba
Nataka company ya kutaka ccm fc itandikwe magoli.Ok, nitakuwa active kukupa company. Ngoja niangalie harusi ya MC pili pili hapa![]()


