Hili nimeshalithibitisha zaidi ya mara mbili humu ndani jf. Sasa tumalizane na maswlai niliyo uliza Kisha nitajibu maswali yenu ila msikimbie maswali yangu.Huyu Kisai hana uthibitisho wowote wa anacho kisema ana zunguka zunguka tu na ubishi wake bila kuwa na hoja zenye uthibitisho naona ni mawazo yake anajaribu Kuyafosi bila kuleta uthibitisho