Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

Mungu ni ni wazo lilitobuniwa na watu baada ya kukosa majibu ya maswali fulani fulani kuhusu ulimwengu
sababu ya wewe kusema hakuna mwanzilishi wa haya yote nini? nakama unauhakika hakuna je ni nan kafanya haya yote kwa ustadi mkubwa hivyo ? nn chanzo cha uhai , na uhai una dhumuni gani?maisha ni nini ? mwisho wa maisha upo kwa dhumuni lip ili iweje ? ikishakua kwa sababu gan?wewe ni nan umetoka wap? upo kwa dhumuni gani ? ukifa unaenda wap ? kwa sababu gani . pia kumbuka hakuna jambo lolote lisilokua na sababu.
 
muulize katoka wapi yeye.

Dini zilikuwepo tangu enzi na enzi, jamii za wanaadamu zimekuwa zikiabudu vile wanavyoviita Mungu kwa miaka mingi sana hili halina ubishi.

Uwepo wake miaka mingi haina maana ni sahihi kuwepo wake maana hata uongo usipodhihirika huonekana ukweli miaka yote mpaka ukweli utakapofahamika.

Ila kuna sehemu ya watu kwenye jamii wamekuwa wakitilia mashaka na kukosoa wazo lenyewe la kuwepo kwa huyo anaeitwa Mungu. Wanaoamini (imani yoyote tu ‘as long as’ wanamuabudu wanachokiita Mungu) wanasistiza kuwa yupo na uwezo wake ni Mkuu sana.

Hoja za waumini nazifahamu baadhi, ila hoja za Atheist sijazielewa.

Ningependa kuwaelewa zaidi Atheists, Karibuni hapa Atheist walau mthibitishe (kama mtaweza) kuwa huyo wa kuitwa Mungu hayupo.

Lakini kwanza ni lazima tufafanue nini maana ya MUNGU, kwa maana kukurupuka kujibu swali ilhali hatujui maana ya dhana ya msingi wa swali itakuwa ni uhayewani wa kiwango cha juu sana.

Karibuni sana!
View attachment 2355249
Sometimes ujuaji uwe na kikomo, za kuambiwa ongeza na za kwako usikurupuke kuleta tu maada kwa mihemko. You have to grow up. Izo philosophy zako zitakupoteza. Amin nakuambia.
 
Sometimes ujuaji uwe na kikomo, za kuambiwa ongeza na za kwako usikurupuke kuleta tu maada kwa mihemko. You have to grow up. Izo philosophy zako zitakupoteza. Amin nakuambia.
Kukua ni kutokuuliza maswali?
Ujuaji ni kuuliza usolijua ili kupata majibu?
Mihemko- waweza nionesha sentesi moja katika uzi huu kuthibitisha hilo?

NB: Hatukomoani, tunataka tuelewane kama wewe ni muumini Dini hilo halinizuii mimi kujadiliana na wasioamini, na kama wewe si muumink dini hilo halinizuii kunadiliana na wasioumini Dini wqlio tayari kunifunza kuhusu hoja zao.

Karibu sana ‘Funa Mashuhuri’
 
Mimi binafsi maongezi yangu niliyoyafanya JF miaka yote kuhusu uwepo wa Mungu hayajafikia hata 5% ya maongezi ninayoweza au ninayotaka kuyafanya.

Kwa sababu watu wengi wanajadili dhana hii kwa upeo finyu wa dini zao. Na inakuwa vigumu kuendeleza mazungumzo ngazi ya tatu wakati hata ya kwanza hatujamaliza. Inakuwa sawa kutaka kujadiliana hesabu za Poincare's Conjecture level ya Grigori Perelman na mtu ambaye hajui kujumlisha na kutoa.

Hivyo hatujafikia kuzungumzia hata dhana kama pantheism, deism, na nyingine nyingi.

Mara nyingi watu huanzia na Mungu anayetajwa kwenye dini kubwa. Maana huyo ndiye anayetajwa sana.

Mfano, mimi mara nyingi ninapopinga uwepo wa Mungu, humtambulisha kwa sifa kama kusema "Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote".

Huyu ndiye Mungu anayetajwa kwenye misahafu ya Uyahudi, Ukristo, Uislamu na mingine mingi tu.

Mungu huyu ni dhana tu, hayupo kwenye uhalisia.

Dhana ya kuwepo Mungu huyu inapingana na ulimwengu unaoruhusu mabaya. Ama una ulimwengu unaoruhusu mabaya na Mungu huyu hayupo, ama Mungu huyu yupo na ulimwengu unaoruhusu mabaya haupo.

Ulimwengu unaoruhusu mabaya upo.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

This is basic logical consistency.

Mungu huyo kuwepo ni contradiction kama kuwepo kwa pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika planes za Euclidian geometry.

Ni contradiction kama 10 kuwa square root ya 2 katika base 2 mathematics.
kwa maelezo yako unautofauti mkubwa na scar , nmekuelewa kuwa unapinga Mungu alie elezwa kwenye dini , ila una uelewa mkubwa zaidi kumueleza Mungu katika dhana nyingne kabsa tofauti na dhana iliyopotoshwa ya kwenye din, yan hauridhiki na Mungu aliyesemwa ana upendo wakati duniani kuna majanga ya kila namna , yan unataka Mungu aondoe shida zote ndio ujue kuwa yeye yupo aliejieleza ana upendo na huruma , yan umemaanisha sifa zake haziendani na uhalisia uliopo , Au unamaanisha hakuna nguvu yoyote iliyoanzisha uhai ? yaani hamna chanzo cha yote haya,kama anavyoamini scar ?
 
Huyu ni wataifa gani?

Maana ile list ni incomplete haijataja miungu yote, ni bora ukawa specific kunitajia taifa au asili alikoanzia kuabudiwa
huku tanzania tunavyoita mnyama mbwa je ni sawa na wanavyoita sudani america somalia na nk ? je kama wanaita tofauti inabadilisha maana ya huyo mnyama je dog na mbwa ni viumbe viwili tofauti ?
 
nguvu iliyo plan vyote kuwepo ni nguvu ipi?
Kwani lazima kuwe na nguvu ili kufanya kilicho complex kiwepo?

Hujui kama hata hiyo nguvu itakuwa na complex mara mbili kwasababu imewza kuwa sababu ya kitu kingine kuweza ku exist na kwa maana hiyo nayo nguvu itahitaji nguvu nyingine kubwa kuliko yenyewe ambayo itakuwa ndio chanzo chake?
 
Kwanza kabla ya yote haya unatakiwa kijiuliza Wewe hivi Mungu ni nani?
Yupo je?
Je ana mwili kama sisi wanadamu au vipi anaonekana au vipi

Ukipata majibu ya maswali yako ndo sasa uje ulete mada apa
Sio umepigwa na stress zako za mapenzi ndo unakuja kutuletea kelele apa acha bangi
 
Kiswahili wanaitwa wakana Mungu. Na dini yao ni hiyo kwamba hakuna kitu aliumba kila kitu. Wanaamini kwamba milipuko husababisha chaos ila somehow mlipuko wa kisasili cha Big bang iliketa order na sio chao na somehow magically vitu mfu vilizaa uhai japo haijawahi kutokea!

Wanaamini hekaya za watu wazima!
 
Kwanza kabla ya yote haya unatakiwa kijiuliza Wewe hivi Mungu ni nani?
Yupo je?
Je ana mwili kama sisi wanadamu au vipi anaonekana au vipi

Ukipata majibu ya maswali yako ndo sasa uje ulete mada apa
Sio umepigwa na stress zako za mapenzi ndo unakuja kutuletea kelele apa acha bangi
ajiulize Mungu ni nani ashajua kwanza yeye ni nan? ajiulize kwanza yeye ni nan alikua wap kabla ya kuzaliwa, akifa naenda wap kwasababu gani ?akijua hayo ashamjua Mungu.
 
Sawa, kwahiyo kwako Mungu ni WAZO tu.

Kama hutojali wacha niulize swali jingine,
Wazo hilo linaelezaje…?
Kuelezea maswali magumu ambayo hawataki kukubali kuwa hawana majibu nayo, hapo ndio nafasi ya Mungu inatumika.

Mfano huu hapa

1663155128503.png
 
huku tanzania tunavyoita mnyama mbwa je ni sawa na wanavyoita sudani america somalia na nk ? je kama wanaita tofauti inabadilisha maana ya huyo mnyama je dog na mbwa ni viumbe viwili tofauti ?
Njoo kwenye point yako, unataka kumaanisha nini?

Kuna conspiracy inapikwa hapa
 
Kwani lazima kuwe na nguvu ili kufanya kilicho complex kiwepo?

Hujui kama hata hiyo nguvu itakuwa na complex mara mbili kwasababu imewza kuwa sababu ya kitu kingine kuweza ku exist na kwa maana hiyo nayo nguvu itahitaji nguvu nyingine kubwa kuliko yenyewe ambayo itakuwa ndio chanzo chake?
energy never created no destroyed tuanzie apo kwanza.
 
Kila mtu anaamini kuwa kuna mwanzo wa vitu vyote, hao atheists ni watu gani? Au ni wapinga dini? Hata mpinga dini anaamini kuna mwanzo wa vitu vyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo kwenye point yako, unataka kumaanisha nini?

Kuna conspiracy inapikwa hapa
umetaja majina ya Mungu wengi kwa lugha na tamaduni tofauti bila kukumbuka hao wote wana sifa moja kuu ambayo ni uumbaji (chanzo) hizo sifa nyingne ni tofauti ya hyo nguvu kuu ilivyowaonekania watu wa tamaduni tofauti kwa namna tofauti.
 
Sifa sio uhalisia

Mi najadili uhalisia

Spiderman, Superman, Batman wote hao wana sifa moja ya kupaa angani na kuwaokoa watu kwenye matatizo lakini je ndio iko hivyo kiuhalisia?
 
Kwa maana hiyo ukisema "heat energy" katika perception ya dini maana yake haijaumbwa na Mungu?

Unakuwa umekubali kuwa Mungu sio muumbaji wa kila kitu kwasababu zipo energy ambazo zimeweza kuwepo bila chanzo wala kusababishwa na Mungu?
kwann unabinafsisha jina Mungu ? hilo ni jina tu , tumelitunga sisi binadamu ile kuelewa ile supernatural power ,siwezi ongelea dini kwa sababu kbla ya dini imani ilikuepo tu , dini ni tamaduni za kigeni tu wala hazna muunganiko na nguvu ya uumbaji ni taasisi tu tumejiwekea ya kufikia ile nguvu angalau , kiufupi uhai ndo Mungu mweyewe
 
sababu ya wewe kusema hakuna mwanzilishi wa haya yote nini? nakama unauhakika hakuna je ni nan kafanya haya yote kwa ustadi mkubwa hivyo ? nn chanzo cha uhai , na uhai una dhumuni gani?maisha ni nini ? mwisho wa maisha upo kwa dhumuni lip ili iweje ? ikishakua kwa sababu gan?wewe ni nan umetoka wap? upo kwa dhumuni gani ? ukifa unaenda wap ? kwa sababu gani . pia kumbuka hakuna jambo lolote lisilokua na sababu.
Unavyosema ustadi mkubwa unapimaje?

Ulimwengu wenye mabalaa hadi ya asili utasemaje umeumbwa kwa ustadi mkubwa?

"Ukifa unaenda wapi?" hilo ndio swali gani sasa?

Mwili uliokufa hauwezi kufanya movement yeyote ya kwenda popote, hizi habari za kusema adhabu ya kaburi sijui kuna mijoka itakufata kaburini kukung'ata, kwangu ni habari za kitoto

Kwanza hoja kama hiyo imefikiria upande mmoja tu wa coin, kuwa kila mtu atakufa na mwli wake utazikwa kaburini.

Hoja hiyo haijafikiria upande wa pili wa coin kwa wale walioliwa na simba, kupata ajali ya moto mwili kuungua wote bia kupa masalia, na waliozikwa kwa kuchomwa moto watahusika vipi na hiyo mijoka inayotoa adhabu ndani ya kaburi?
 
Back
Top Bottom