Mkuu imani ipo tu ata wasingeanzisha mababu, unapanda gari unaamini huyo dereva atakufikisha salma japo haujui kama jana alipata kichaa unaamni tu, unalala unaamn kesho utaamka, unaamni tu, unaamni tu binadamu ana akili ata haujawahi kuiona akili kimaumbile ya kimwili unaamin tu, unaamni tu kuna hewa, ila hauioni kwa macho unaamn tu, unaamn kuna joto na unalihisi ila haujawahi kuliona
KWAHIYO KUTOONA Jambo flani kwa macho hakumaanishi jambo hlo halipo, ila kuona matokeo tu au kuhisi nikidhibitsho tosha hlo jmbo lipo, kuna maumbile sio rahisi kuyaona kwa macho kwa sababu yapo kwenge enegry ya juu na frequence ya hali ya juu.