Unavyosema ustadi mkubwa unapimaje?
Ulimwengu wenye mabalaa hadi ya asili utasemaje umeumbwa kwa ustadi mkubwa?
"Ukifa unaenda wapi?" hilo ndio swali gani sasa?
Mwili uliokufa hauwezi kufanya movement yeyote ya kwenda popote, hizi habari za kusema adhabu ya kaburi sijui kuna mijoka itakufata kaburini kukung'ata, kwangu ni habari za kitoto
Kwanza hoja kama hiyo imefikiria upande mmoja tu wa coin, kuwa kila mtu atakufa na mwli wake utazikwa kaburini.
Hoja hiyo haijafikiria upande wa pili wa coin kwa wale walioliwa na simba, kupata ajali ya moto mwili kuungua wote bia kupa masalia, na waliozikwa kwa kuchomwa moto watahusika vipi na hiyo mijoka inayotoa adhabu ndani ya kaburi?