Sijawahi kujadiliana na watu watupu kama nyinyi. Badala ya kujibu hona unakimbia kwa kuandika tuhuma. Hii mbini mtaiacha lini ?Unajua ubaya uko wapi? Upo brainwashed toka mdogo, kwaiyo ubongo wako umeshalishwa sumu hutaweza kuchambua kiyakinifu,
Mimi nakupa kazi Moja tu leta hizo fact unazo dai alizitowa Galileo Kisha ujibu maswali nitakayo kuulizia kutokana na hizo unazo dai kuwa ni facts.Je unafahamu mwaka 1633 galileo galilei alihukumiwa kifungo cha maisha na kanisa katoliki kwa sababu alitoa fact kuwa dunia inazunguka jua, fact ambayo leo hao wakatoliki wanaikubali,
Akili ya kawaida tu inakataa ya kuzunguka kwa Dunia.
Kisha uniwekee hapa jaribio la Kisayansi la kweli linakothibitisha ya kuwa Dunia inazunguka.
Unatakiwa ujibu maswali niliyo uliza.kwa iyo na wewe unless utaruhusu ubongo kufunguka na ku chambua mambo, hata uambiwe nini hutaelewa.
