Atakua anamkomoa nani? Njia nzuri ni kutandika kila unapoona kimevurugika hasa kama na mwenyewe unapenda ustaarabu lakini awe anamwambia jinsi anavyokereka.Kitandike halafu chukua maji lita 60 kimwagie kila siku jioni kitabaki safi muda yote
Safi sana naomba mdogod wako jamen nimekupendaJe ueolewa na Marioo?? Nijuavyo Mimi mwanamke huamka mapema kisha huiandalia familia breakfast na kuhakikisha Nguo kuanzia za watoto mpaka za mume zipo tayari kuvaliwa siku hiyo,kisha tunaandaa maji kwa ajili ya kuoga wewe na kisha mumeo,huku watoto nao wakijiandaa kwa muda wao, sasa huo muda mumeo anakua bafuni kuoga wewe ulipaswa ubadirishe shuka + folonya za mito na kutandika upyaa, ili hata kama mumeo atarudi tena kulala (ikiwa ni marioo) basi hatokitimua kama mlivyo kitimua usiku uliopita
Wanawake hebu tuacheni kulalamikia vitu ambavyo vipo ndani ya majukumu yetu, wanaume ni watoto zetu wakubwa na ni jukumu letu kuwatengenezea utaratibu na kuwasimamia kama tuwasimamiavyo vijana wetu
Haha, na uendelee kunipenda hivyo hivyo EvelynNipo shemeji, nmekupenda ghafla kwa hiki ulichoandika
Ni kweli dada wanaume wa dar hatuna desturi ya kutandika vitanda mtusamehe tuJamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Karibu nikuposeKuwa single ni raha sana ninvyotandika kitanda kinabaki safi mpaka niingie tena kitandani.