5 kwa 6Ngapi kwa ngapi
Una kiasi ganipunguza bei kidogo tuongee biashara nikaanze maisha nitoke hapa kwa shemeji
Acha mimi ni nunue uje kwangu😁punguza bei kidogo tuongee biashara nikaanze maisha nitoke hapa kwa shemeji
ninayo 150K pamoja na godoroUna kiasi gani
hapana nataka nianze kujua uchungu wa kujitegemea niache kujiendekeza kukaa kwa watuAcha mimi ni nunue uje kwangu😁
Daah sijui umenichukuliaje hio biashara sifanyi katafute sehemu nyingineninayo 150K pamoja na godoro
You better watch your backKuna 50k haina kazi hapa
All the besthapana nataka nianze kujua uchungu wa kujitegemea niache kujiendekeza kukaa kwa watu
Kama ni cha mwana ccm lazima kuna chawa.Hakina mifugo ?
😁 boss una asili ya uhindi nini punguza hasiraDaah sijui umenichukuliaje hio biashara sifanyi katafute sehemu nyingine
sijakuchukilia ila umeniuliza nina ngapi,, sorry kama umekwazikaDaah sijui umenichukuliaje hio biashara sifanyi katafute sehemu nyingine
Hicho kitanda thamani yake ni 50k budaYou better watch your back
Thanks muchAll the best