Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,351
- 38,941
Acha upuuzi.jiheshimu weweNdiyo shida ya kuolewa na chadema, wako immature!
Acha upuuzi.jiheshimu weweNdiyo shida ya kuolewa na chadema, wako immature!
Mkuu labda unaongelea maisha ya kule kwa wenzetu wanaotupiga kwenyeakinikia .....ila sisi ngozi hii ya siagi tunadanganyana. Ukienda kwetu kolomije ndani ndo utajua huu mfumo chukiwa na kizazi cha doti com a.k.a mfumo dume unavyo fanya kazi kisawasawa.Yaani, si kuoa tu, fikiria unakwenda chuo baada ya kuoa, huko hutatandika kitanda, hutapika, jamani msijiendekeze. Yota haya yanasababishwa na umasikini. Kama tungetakiwa kuwalipa wafanyakazi wa ndani kima cha chini cha mshahara wangapi hapa wangeweza kuwa na wasaidizi. Mkitoka kazini mnagawana majukumu, mmoja anapika mwingine anapiga pasi nguo za kesho.
Yale mapenzi ya wazazi wetu yamepita mkuu, siku hizi wanawake ndinga tunanunua wenyewe, na tukichelewa tusiulizwe tunatoka wapi, kuna mambo mengi makazini, seminar elekezi na mikutano.
Time will change people, a while back it was even worse, can't recall of ever seeing my dad near the kitchen my whole lifeHayo ndiyo mapenzi, West Africans first date atakupeleka restaurant, ya pili lazima akupikie nyumbani kwake, kama itatokea ya pili.
Mkuu, nilikaa na wakaka wa ki-Nigeria waliniambia wao kwanza mama lazima atoke asubuhi, familia haiwezi kukaa ikisubiri mshahara wa baba. Hivyo mama kama si mwajiriwa atakwenda shamba au gengeni asubuhi baada ya kumwandalia mzee chai. Mtoto wa kwanza awe wa kike au wa kiume inabidi awatengenezee wadogo zake chakula cha mchana, fikiri maisha ya kwetu Kwamtogole hata microwave hakuna, mtoto wa kiume atachanja kuni, apike awaandalie wadogo zake na pia achemshe nyama au maharage kumfanyia mama wepesi wa kutengeneza chakula cha jioni. Sisi tunalea watoto wa kiume kama watoto wa wafalme.Mkuu labda unaongelea maisha ya kule kwa wenzetu wanaotupiga kwenyeakinikia .....ila sisi ngozi hii ya siagi tunadanganyana. Ukienda kwetu kolomije ndani ndo utajua huu mfumo chukiwa na kizazi cha doti com a.k.a mfumo dume unavyo fanya kazi kisawasawa.
Dawa yako iko jikoni endelea hivyo hivyo na Ku udhika.Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Hahahaaaaa you ain't seriousAsipofua boxer zake unamwambia atafute disposable
Nipo shemeji, nmekupenda ghafla kwa hiki ulichoandikaYaani mimi hizi kazi ndogo ndogo hua siwazi kabisa, making the bed, kupika kufua n.k yaani nikiwa na nafasi nafanya bila kinyongo hata kama nipo na mwanamke ndani
Ila inategemea na malezi, mzee wangu alikua bandindu sana.. Licha ya kua na uwezo alitulea ki maadili sana, nakumbuka tulikua na wasichana wawili na kijana mmoja wa kazi ila likizo sisi ndo tulikua tunapiga kazi karibia zote
Mfumo dume ulishakufa kwa wasomi, so making the bed is just one simple chore
Btw, Evelyn Salt yupo???
Kuna kesi ilifika kwa mjumbe huku kwetu Kwamtogole, mkaka akilewa anakojolea nguo za my wife wake, mke amekuja juu, mbona hakojolei nguo zake?Ila bora uyo wengine wanakojoa apo apo
HahahahahahaaaaSiwezi kutandika kitanda wakati mke yupo...
Akisafiri napigapiga mavumbi tu kuwakimbiza panya mende.
Kuna kesi ilifika kwa mjumbe huku kwetu Kwamtogole, mkaka akilewa anakojolea nguo za my wife wake, mke amekuja juu, mbona hakojolei nguo zake?