Akili 09 Nguvu 01
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 695
- 1,393
Sisi tunajadili namna ya kulipwa Makinikia yetu we unatuletea UJINGA apa. Wew unafanya nin adi mmeo atandke kitanda? Play ur part tandka Kitanda
Ohoo siri za familiaJamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Mlivyokuwa mnadate ulikuwa unamtembelea kwake? Binadamu anatofautiana na mnyama kwa mazingira anayoishi, sasa binadamu asiyetandika kitanda si anaishi kama mnyama? Samahani.
wacha hiyo wengi hatutandiki vitanda sababu kuu ni wewe upo na unatakiwa utandike kitanda usipokuwepo naacha hvy hvy maana jioni nakuwa nimechoka full kujitupa,ila wasiliana na Hg wenu awe anasaidia kama hilo linakukera vinginevyo unda kamati au tume kuchunguzaMlivyokuwa mnadate ulikuwa unamtembelea kwake? Binadamu anatofautiana na mnyama kwa mazingira anayoishi, sasa binadamu asiyetandika kitanda si anaishi kama mnyama? Samahani.
Kwa uandishi huo unadhani yupo single?Naomba nikuowe![]()
Mimi hua binafsi sipendi he is a man,wacha afanye kazi za kiume,ikiwa naumwa kiyasi kwamba siwezi kufanya mwenyewe yes anaweza ku take over mpaka pale mdogo wangu au Dadangu atakapo kuja..Unavyofanya si tatizo wala ushamba, ukitaka mpangilio mzuri wa vitu vyako 100% sio kumwachia mwanaume, wapo mbao wako vizuri kwenye hilo eneo lakini wengine hugusa tu.
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Mfyuuuu ukute una laki mbili bank unajifanya mwanaume mfyuuuJe ueolewa na Marioo?? Nijuavyo Mimi mwanamke huamka mapema kisha huiandalia familia breakfast na kuhakikisha Nguo kuanzia za watoto mpaka za mume zipo tayari kuvaliwa siku hiyo,kisha tunaandaa maji kwa ajili ya kuoga wewe na kisha mumeo,huku watoto nao wakijiandaa kwa muda wao, sasa huo muda mumeo anakua bafuni kuoga wewe ulipaswa ubadirishe shuka + folonya za mito na kutandika upyaa, ili hata kama mumeo atarudi tena kulala (ikiwa ni marioo) basi hatokitimua kama mlivyo kitimua usiku uliopita
Wanawake hebu tuacheni kulalamikia vitu ambavyo vipo ndani ya majukumu yetu, wanaume ni watoto zetu wakubwa na ni jukumu letu kuwatengenezea utaratibu na kuwasimamia kama tuwasimamiavyo vijana wetu
Aliyekwambia Mimi ni mwanaume nani? After all sibishani na vichaaMfyuuuu ukute una laki mbili bank unajifanya mwanaume mfyuuu