Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!
Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!
Ananiudhi!!
Kuwa single ni raha sana ninvyotandika kitanda kinabaki safi mpaka niingie tena kitandani.unawahi kuamka sawa.
je unaendaga wapi ?
kwani nani anaingiaga huko chumbani kwenu mpaka uhofie huo uvululuvululu ??
Kuwa single ni raha sana ninvyotandika kitanda kinabaki safi mpaka niingie tena kitandani.
Asipofua boxer zake unamwambia atafute disposableshukuru Mungu aic asilimia ya wanaume weng hawatandiki vtanda achana na kufua ht handkerchief mxiewwwwwww
Asipofua boxer zake unamwambia atafute disposable
unatandika kitanda ili iweje??Kuwa single ni raha sana ninvyotandika kitanda kinabaki safi mpaka niingie tena kitandani.