Mume wangu huwa hatandiki kitanda

ivi mnajua kitanda kisipotandikwa kinakuwaga na harufu ya ajabu hata hamu yakulala inaisha mkiwa mnadate muwe mnanyooshana mapema aa
 
Je ueolewa na Marioo?? Nijuavyo Mimi mwanamke huamka mapema kisha huiandalia familia breakfast na kuhakikisha Nguo kuanzia za watoto mpaka za mume zipo tayari kuvaliwa siku hiyo,kisha tunaandaa maji kwa ajili ya kuoga wewe na kisha mumeo,huku watoto nao wakijiandaa kwa muda wao, sasa huo muda mumeo anakua bafuni kuoga wewe ulipaswa ubadirishe shuka + folonya za mito na kutandika upyaa, ili hata kama mumeo atarudi tena kulala (ikiwa ni marioo) basi hatokitimua kama mlivyo kitimua usiku uliopita
Wanawake hebu tuacheni kulalamikia vitu ambavyo vipo ndani ya majukumu yetu, wanaume ni watoto zetu wakubwa na ni jukumu letu kuwatengenezea utaratibu na kuwasimamia kama tuwasimamiavyo vijana wetu
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
hayuko peke yake, tupo wengi sana. mimi mwenyewe sikumbuki lini katika maisha yangu ya ndoa nimetandika kitanda. hakika ni zamani mno na nilitandika kwa shida sana. hiyo ni kazi yako wewe au la kama mmeo unataka awe demu mwambie atandike kitanda.
 
Mwanamke aliumbwa ili awe MSAIDIZI. Na huko kufua boxer na kutandika ndiyo usaidizi wenyewe. Acha kukwepa majukumu yako.
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
Hata wewe pia umeolewa? Poor IQ kama hii hiyo ndoa mtapata maendeleo gani?
 
BIBLIA INASEMA MWANAMKE ATATAWALIWA NA MWANAUME............. IVI NANI ANAWADANGANYA DADA ZETU...

- KWELI MIMI NIKUTANDIKIE KITANDA, MKE WANGU?????

HIZI TAMTHILIA ZA PERU SIJUI WAPI MNAZOANGALIA ZINAWAHARIBU AKILI MNO KABISA.

MNATAKIWA MJUE NAFASI KWENYE NDOA

Ref: THREE SUITORS ONE HUSBAND....... " Give me the stool and take your place on the floor"
 
Teeteeeh... Jf bhana... Tuanze kujadili kitanda chako,... Tuje tumseme mumeo au tuje kuwasaidia kutandika.. Daah! Kesho utarudi kutuambia hajakukojoza vzr ili tumsaidie kukukojoza
 
Je ueolewa na Marioo?? Nijuavyo Mimi mwanamke huamka mapema kisha huiandalia familia breakfast na kuhakikisha Nguo kuanzia za watoto mpaka za mume zipo tayari kuvaliwa siku hiyo,kisha tunaandaa maji kwa ajili ya kuoga wewe na kisha mumeo,huku watoto nao wakijiandaa kwa muda wao, sasa huo muda mumeo anakua bafuni kuoga wewe ulipaswa ubadirishe shuka + folonya za mito na kutandika upyaa, ili hata kama mumeo atarudi tena kulala (ikiwa ni marioo) basi hatokitimua kama mlivyo kitimua usiku uliopita
Wanawake hebu tuacheni kulalamikia vitu ambavyo vipo ndani ya majukumu yetu, wanaume ni watoto zetu wakubwa na ni jukumu letu kuwatengenezea utaratibu na kuwasimamia kama tuwasimamiavyo vijana wetu
una mdogo wako hajaolewa!? kuna familia zinalea mabinti kuwa wake wema.
 
Je ueolewa na Marioo?? Nijuavyo Mimi mwanamke huamka mapema kisha huiandalia familia breakfast na kuhakikisha Nguo kuanzia za watoto mpaka za mume zipo tayari kuvaliwa siku hiyo,kisha tunaandaa maji kwa ajili ya kuoga wewe na kisha mumeo,huku watoto nao waki

jiandaa kwa muda wa
Wanawake hebu tuacheni kulalamikia vitu ambavyo vipo ndani ya majukumu yetu, wanaume ni watoto zetu wakubwa na ni jukumu letu kuwatengenezea utaratibu na kuwasimamia kama tuwasimamiavyo vijana wetu
Umemaliza kila kitu dadaa.unakunywa soda gani?hauna Mdogo ako ambaye hajaolewa unipatie tafadhali haha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom