Mume wangu huwa hatandiki kitanda

Mume wangu huwa hatandiki kitanda

At least Umeonyesha kuwa Wewe ni Mwanamke Bora na siyo Bora Mwanamke. Yaani Unautendea haki Uanauke wako katika yale Mambo ya kawaida na Majukumu ya Kawaida ambayo Jinsi ya Kike hufanya hata ikiwa haipo kwenye Mahusiano.

Wee umeonyesha kuwa Umekuwa kiakili na You Deserve to be Called Wife Material. Mungu Akubariki.

JF Moderator katika Comment ambazo wanawake wa Jamvi la JF hakuna Comment ilishawahi kuizidi hii.. Naomba Mumpongeze..
Shukrani sana, tuzidi kuombeana na kukumbushana
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
Ungeandika mmeo anatandikaga kitanda, ningeshangaa sana aiseee...
 
105d5c4b4ba904ccde6dc064fa4d1f85.jpg
Unajidhalilisha
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
Leo utarudi kwenu,kwan haya ndo ulifindishwa kwenye kitchen party??
 
Hata mimi sitandiki hata akisafiri mwezi ili ajue sikuwa napiga show za nue
 
Je ueolewa na Marioo?? Nijuavyo Mimi mwanamke huamka mapema kisha huiandalia familia breakfast na kuhakikisha Nguo kuanzia za watoto mpaka za mume zipo tayari kuvaliwa siku hiyo,kisha tunaandaa maji kwa ajili ya kuoga wewe na kisha mumeo,huku watoto nao wakijiandaa kwa muda wao, sasa huo muda mumeo anakua bafuni kuoga wewe ulipaswa ubadirishe shuka + folonya za mito na kutandika upyaa, ili hata kama mumeo atarudi tena kulala (ikiwa ni marioo) basi hatokitimua kama mlivyo kitimua usiku uliopita
Wanawake hebu tuacheni kulalamikia vitu ambavyo vipo ndani ya majukumu yetu, wanaume ni watoto zetu wakubwa na ni jukumu letu kuwatengenezea utaratibu na kuwasimamia kama tuwasimamiavyo vijana wetu
Naomba nikuowe
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!

Ndiyo shida ya kuolewa na chadema, wako immature!
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
Vitu vingine sio vya kuleta huku jf mnamaliza wenyewe au hujafundwa dada
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
Acha kutusema wewe!mimi toka nioe hata shuka sinunui bibie ndio ananunua na ipi itandikwe tena kwa theme ipi anajua yeye yaani yeye ndio mkuu wa jukwaa la chumbani na anajua kuset right ambiance na akisafiri hiyo aliyoacha ataikuta hiyo hiyo hata miezu miwili sibadilishi!
 
Nilijua sitandiki mm tu kumbe tupo wengi hivi?
Nini kutandika huyo demu hajui kuwa wanaume tukiulizwa tuna mashuka mangapi na rangi zake hata kuzitaja hatuwezi maana huwa hatufikirii kabisa habari ya kitanda baada ya kuoa !binafsi sizijui shuka zetu za my one favourite amabyo cotton moja nyepeeesi!zilibakia sina idea!
 
Acha kutusema wewe!mimi toka nioe hata shuka sinunui bibie ndio ananunua na ipi itandikwe tena kwa theme ipi anajua yeye yaani yeye ndio mkuu wa jukwaa la chumbani na anajua kuset right ambiance na akisafiri hiyo aliyoacha ataikuta hiyo hiyo hata miezu miwili sibadilishi!

Duh! Kweli wewe ni msafi!
 
Back
Top Bottom