SIKU KITANDA KILIPOPIGA MAKELELE

SIKU KITANDA KILIPOPIGA MAKELELE

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,062
Reaction score
15,134
Naam ni jioni jioni jua laanza kuzama.

Najongea nyumbani nikiwa na uchovu wa safari ya shamba kuvuna,

Nawekewa maji bafuni (bafu lenye wigo wa nyasi).

Maji uvugu vugu na sabuni ya kunukia ya life buoy.

Baada ya bafu naweka betri kwenye kiredio nipate habari za dunia BBC Swahili Enzi za kina Vicky Mtetema,,,,,halafu nipate kusikia Sauti ya Ujerumani,,,,na baadae kumalizia na Voice of America,

Mpaka muda huo nitakuwa nishamaliza kupata msosi wa jioni lakini nipo kwa nje napunga upepo ndani udi wanukia na taa ya karabai yaangaza sebuleni...na baadhi ya mwanga wapenya mpaka vyumbani kwani nyumba haina dari.

Wakati huo bibiye keshajiandaa ananukia na huku mzee kwa ajili ya upwiru kesha simama anadai haki yake.

Basi najongea chumbani kupanda kitandani nasikia sauti ya kitanda ''ngaaa''...duuh nakumbuka kumbe sikukikaza..

Basi kutokana na uchovu.... naona potelea mbali .....nitakikaza kesho.

Nategesha Radio Free Africa..sauti juu,,,ili nianze kupata haki.

Najipa moyo kwamba nitafanya tartiibu ili kitanda kisipige sauti.

KUja kushtuka kitanda kilishapiga sauti kubwa kuliko Radio halafu kwa nje nasikia jamaa wananiita....kumbe usharudi,,nawaambia ndio,,,wanadai walikuwa wanapita tu wametoka ubanda wanacheki kama nina akiba ya fegi kidogo,

Basi ninatoka nje tunapiga stori na fegi mbili tatu halafu narudi tena kitandani mara ngwaaa,,,kuchwiiii,,dahh,,nasema nitanyatia tartiiibu kuja kushtuka kuna watu wengine wanaita,,,safari hii ni wanawake,,,jamani huko ndani kwemaa....mwenzao anaitikia kwema tuu,,,basi wanadai walikuwa wanapita tu.

Mchezo unaendelea kitanda ngwaaaa chukwi chukwi chukwiiii chukw chukw chukwiiiiii.

Mara twasikia tena ...jamani kwema hukoo...twawaambia kwema...chukwi chukwi,,,mara hodii hodiii sauti ya mwana mama,,,ambaye naye ana wowowo la haja...nikavaa taulo nikaenda mfungulia .....
ITAENDELEA>>>>>>>>>>
 
Usiku ule ulipoanza, chumba kilikuwa kimya kiasi cha kusikia mwangwi wa pumzi. Lakini ghafla, kitanda kikatoa mlio mkali wa mbao au chuma—kule kuguna na kulalamika kwa nguvu kulikogeuka kengele ya ghafla katikati ya amani ya
mtaa.
Mlio ule haukuwa tu sauti ya fanicha iliyochakaa. Ulikuwa mjumbe wa siri zilizofichika, ukumbusho wa uzito usioonekana, na wakati mwingine, kioo kilichoonyesha ukweli ambao mara nyingi tunapenda kuufunika kwa blanketi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom