Mume wangu huwa hatandiki kitanda

hayuko peke yake, tupo wengi sana. mimi mwenyewe sikumbuki lini katika maisha yangu ya ndoa nimetandika kitanda. hakika ni zamani mno na nilitandika kwa shida sana. hiyo ni kazi yako wewe au la kama mmeo unataka awe demu mwambie atandike kitanda.
Hata mimi sijawahi kutandika kitanda.Kabisa
 
Sio kazi yetu kabisa tena mtukome niumize kichwa kutafuta hela ya kula ndani, watoto shule, kodi ya nyumba na Miranda nitandike? Mxiuuuuu
 
Jamani mume wangu kama amechelewa kuamka na mimi labda nimetoka hatandiki kitanda hadi nirudi nitandike!!

Hata nikisafiri wiki nzima hatandiki kitanda kinakuwa vuluu vuluku!!

Ananiudhi!!
Mwambie housegirl awe anakusaidia kutandika
 
What would you do if it is your husband?
Well,dada amelalamika kuwa mume anachelewa kuamka ndio maana hatandiki kitanda.Nadhani tatizo limeanza hapo.Kwahiyo kuliko nimlalamikie kuhusu kutokutandika kitanda,itabidi nijue kwanini anachelewa kuamka.
Angekuwa mume wangu ningemshauri atleast awe anabadilisha mashuka often when im not there.For the sake of hygiene and incase of dangerous incidences like poisonous insects.
Kitanda nitatandika mimi no big deal.Ila I hope sio kitu ambacho atafanya ugenini.A man should know how to take care of himself before a woman comes into his life.
 
Well narrated. Thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom