Hainaga ushemeji
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 451
- 779
Yaani mimi hizi kazi ndogo ndogo hua siwazi kabisa, making the bed, kupika kufua n.k yaani nikiwa na nafasi nafanya bila kinyongo hata kama nipo na mwanamke ndani
Ila inategemea na malezi, mzee wangu alikua bandindu sana.. Licha ya kua na uwezo alitulea ki maadili sana, nakumbuka tulikua na wasichana wawili na kijana mmoja wa kazi ila likizo sisi ndo tulikua tunapiga kazi karibia zote
Mfumo dume ulishakufa kwa wasomi, so making the bed is just one simple chore
Btw, Evelyn Salt yupo???