Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

Mume wangu anapenda tu kifo cha mende

Wewe, shauri yako, unamfundisha mpaka dog style, atanogewa akufumue malinda. Vumilia bi mkubwa.
 
We hujamsoma mumeo, hataki ujue udhaifu wake nandio maana hataki umtawale kwenye game maana hizo style uzitakazo wewe zitamfanya yeye amalize mapema kabla yawewe kumaliza...!
Au pengine mumeo yuwahis anamaumbile madogo kiasi akikaa style nyengine hayatokugusa kwenye "G"

##mchukulie poa analengo zuri sana nawewe##
 
Wadau nawasalimu.

Jamani mimi simuelewi mume wangu, kunako 6 x 6 yeye hataki style nyingine zaidi ya kifo cha mende mie nachoka, najitahidi kubadili mikao labda mie juu yeye chini anaigeuza fasta hataki..doggy style nayo ananigeuza fasta hataka namwambia tusimame basi hataki tupo kwenye ndoa mwaka wa pili sasa, hata wakati wa uchumba alikuwa hivyo..

Sijui nitumie njia gani ya kumfanya ajue mapenzi sio kifo cha mende peke yake mi nachoka yaani nimeshakremisha sasa atakachonifanyia hata kwenye romance pia hanitomasi tomasi akinichezea huko chini kidogo na kuninyonya maziwa basi kamaliza nampenda sana mume wangu sijui nifanyeje abadilike.
maoni yenu ya kujenga yatasaidia tafadhali.
[emoji121]
MKUU
MBONA HILI TANGAZO HALINA PICHA??
 
1474308548730.jpg

Never try this. Hii ina madhara makubwa kwa mwanamke. Inashusha kizazi.

Ufundi mwingi, huharibu mapishi
 
Wadau nawasalimu.

Jamani mimi simuelewi mume wangu, kunako 6 x 6 yeye hataki style nyingine zaidi ya kifo cha mende mie nachoka, najitahidi kubadili mikao labda mie juu yeye chini anaigeuza fasta hataki..doggy style nayo ananigeuza fasta hataka namwambia tusimame basi hataki tupo kwenye ndoa mwaka wa pili sasa, hata wakati wa uchumba alikuwa hivyo..

Sijui nitumie njia gani ya kumfanya ajue mapenzi sio kifo cha mende peke yake mi nachoka yaani nimeshakremisha sasa atakachonifanyia hata kwenye romance pia hanitomasi tomasi akinichezea huko chini kidogo na kuninyonya maziwa basi kamaliza nampenda sana mume wangu sijui nifanyeje abadilike.
maoni yenu ya kujenga yatasaidia tafadhali.
Hii ni athari ya kuwa na promiscuous partners(kuwa na mahusiano zaidi ya mwanaume mmoja ktk maisha ya mapenzi ujanani)
Kinachokusumbua ni Comparatives.
 
Lol, wala sina langu jambo kabisaaa yani ..nachotaka mimi aone kuwa mapenzi sio kifo cha mende tu kuna styles zingine...
tumekaa uchumba miaka miwili
kuna kipindi hua nashuhudia ndoa flani flani, yani unakuta mme kwenye yale maswala ni mbao fc anaoa mke ni ligi ndefu yani kama madrid. matokeo yake ndo hayo!
 
Inaonekana wewe mzoefu sana namaanisha kila style ulishapitia ila mwenzio hajatumika sana kama wewe, jitahidi kuizoea mende style mdogo mdogo otherwise utaonekana ni Malaya aliekubuhu
hawa wabinti wanaanza wakiwa bado darasa la tano ni tabu....
yeye ana PHD ya ngono wakati mwenzie ndo kwanza yuko LY.
Dawa hapa ni kuachana tu maana hawafit
 
Watu tumeolewa na watu wenye mapungufu kibao ya kimaumbile ila katu haitatokea nikaanika mapungufu ya mwenza wangu ya ndani hata kwa kutumia fake account au avatar maana kwa kuandika tu mapungufu yake ambayo ni siri yenu na mnatakiwa kukaa na kuya solve wawili tayari inakua ni sawa na kumuanika hadharani,moyo na nafsi yangu havita muheshimu tena
Acha unafki bhana kipi bora kutafta ushaur kwa siri na kukaa namtatzo litakalokuharibia ndoa,huo unaitwa ushambaaa
 
Wale wenye dhana ya kuoa bikra walikuwa na maana kubwa sana.
Ukioa mwanamke asiye na bikra umeoa mke wa mtu.
Wakati mwingine mtu unahisi ulikosea sana kujihusisha na ngono kabla ya kuingia kwenye ndoa. Hakuna jipya, ni kubebana tu na kutengeneza maisha, hata hiyo fungate mnaenda tu ili kupumzisha akili, otherwise hakuna cha kuonyeshana. Mtu mmebanjuana three yrs, kabla ya hapo ulikuwa na chain.

Ngono kabla ya ndoa ni mbaya, sio kwa wanawake tu, hata kwa wanaume. Ndio maana mda mfupi baada ya kuoana watu wanachoka na kutafuta ladha nyingine.
 
Acha unafki bhana kipi bora kutafta ushaur kwa siri na kukaa namtatzo litakalokuharibia ndoa,huo unaitwa ushambaaa
Sawa wa mjini kama wewe ndio hawakai na ndoa,Sisi tunaofuata yale unaita ushamba ndo tunajua kutumia akili ya ziada kutatua matatizo ya ndani zaidi ya wenza wetu, we si umeona mtoa mada anavyoielezea kimjini mjini yaani ukisoma unapata picha kabisa inavyokua, kwako wewe hivyo unaona kimjini mjini! Sawa si mshazoea kujiweka uchi, jaribuni kutumia tafsida angalau mzitunze heshma za wenza wenu japo hamtumii avatar za kweli,jaribuni kujiongeza kuyatibu matatizo yenu ya ndoa bila kuruhusu Mawazo toka nje,
 
Wadau nawasalimu.

Jamani mimi simuelewi mume wangu, kunako 6 x 6 yeye hataki style nyingine zaidi ya kifo cha mende mie nachoka, najitahidi kubadili mikao labda mie juu yeye chini anaigeuza fasta hataki..doggy style nayo ananigeuza fasta hataka namwambia tusimame basi hataki tupo kwenye ndoa mwaka wa pili sasa, hata wakati wa uchumba alikuwa hivyo..

Sijui nitumie njia gani ya kumfanya ajue mapenzi sio kifo cha mende peke yake mi nachoka yaani nimeshakremisha sasa atakachonifanyia hata kwenye romance pia hanitomasi tomasi akinichezea huko chini kidogo na kuninyonya maziwa basi kamaliza nampenda sana mume wangu sijui nifanyeje abadilike.
maoni yenu ya kujenga yatasaidia tafadhali.
We unapenda kifo cha nyani?[emoji12]
 
Kama huna chakuchangia kaa kimya, ampe tigo maana yake nn, mtu anaomba ushaur watu wanaleta mzaaa, c lazima kuchangia hoja
 
  • Thanks
Reactions: Hun

Similar Discussions

Back
Top Bottom